Ishu ya uchafuzi wa mazingira technology imekua ya kupunguza madharaKwani mafuta hayana kazi nyingi na huko teknolojia hazijabadilika?........unaanzaje kupinga mradi mmoja wa bomba la mafuta wakati kuna mamilioni ya project za kuzalisha mafuta duniani na dunia bado inatumia nishati ya gesi na mafuta kwa kiwango kikubwa..........unafiki wa beberu upo palepale.
Sio kwamba coal imepanda bei , bali coal yetu ina vumbi kidogo na calorific value yake ipo juu, sisi ndo tunaanza kuchimba wenzetu huko walianza miaka mingi iliyopita quality wanayozalisha kwa sasa ni ni ndogoCoal kwa sasa imepanda bei na kuna mahitaji ulaya ya makaa ya mawe maana wamewasha baadhi ya mitambo yakuzalisha umeme yanayotumia makaa ya mawe kujaribu kupunguza utegemezi kwa Mrusi...
Kwetu sisi tunapaswa kuongeza uzarishaji ili tutengeneze faida haraka na watu wetu kupata ajira pamoja na kustimulate uchumi wa kusini..
Kuna haja pia ya kuspeed up uzarishaji wa Graphite pale Lindi maana pia bei ya graphite iko juu na speed ya utengenezaji wa magari ya umeme imeongezeka...
Ok!! Nilishangaa kidogo.Tani elfu 60,000
Kukazana na Bagamoyo ni kuonesha kuwaa hatujui biashara ya Bandari, infact, uwepo wa banadri Mtwara unajionesha wenyeewe kuwa bandari ya mtwara inaweza kufanya biashara zaidi kuliko location nyingineTunahitaji bandari ya Bagamoyo kwa ajili ya Meli kubwa zaidi
Katika South of Sahara coal yetu ndiyo yenye calorific ndogo. Zimbabwe has the highestcalorific value yake ipo juu
Mimi mtazamo wangu, tunahitaji kuziendeleza zilizopo ili zieze kuwa na ufanisi mkubwaTunahitaji bandari ya Bagamoyo kwa ajili ya Meli kubwa zaidi
Siijui coal ya zimbabwe ,unaweza kuwa sahihi kwa hilo , ila coal ya south africa naijua sana ,ipo very low on caloriesKatika South of Sahara coal yetu ndiyo yenye calorific ndogo. Zimbabwe has the highest
Uziendeleze hadi wapi? Dar port utaiendelezaje pale imeshabanwa na ina kina kifupi ? Kutokana na ufinyu wa nafasi ndio maana wanajenga kwala dry port...Mimi mtazamo wangu, tunahitaji kuziendeleza zilizopo ili zieze kuwa na ufanisi mkubwa
Kwa hiyo kukiwa na congestion Dar port Mfanyabiashara wa Rwanda atakuja kutumia port ya Mtwara? Mtu wa Congo atakuja kutumia port ya Mtwara?Kukazana na Bagamoyo ni kuonesha kuwaa hatujui biashara ya Bandari, infact, uwepo wa banadri Mtwara unajionesha wenyeewe kuwa bandari ya mtwara inaweza kufanya biashara zaidi kuliko location nyingine
Bado makaa yanatoka amani makoro , paradiso na mbiga ,kupitia kitaiKama nayaona malori yanavyopishana kwenda na kurudi...hivi bado wanachukulia makaa ya mawe kule Kitai? Kwa wale wazoefu mnijibu?
Coal is worst polluter, shame it hasnt been phased out tangu enzi za industrial revolution.Katika South of Sahara coal yetu ndiyo yenye calorific ndogo. Zimbabwe has the highest.
Unaweza kusemwa kwa mabaya au mazuri.huyo marehemu anasemwa kwa mabaya uwe unaelewa.Hivi yule Ibilisi Jiwe aliwatilia watu dawa gani mpaka wanaweweseka kumtaja huku hakufanya jambo lolote la maana?