Rekodi ya Diamond Platnumz YouTube inapoteza mvuto Afrika!

Mkuu nasema nae, number one, nitampata wapi, nana, African beauty, hallelujah, mdogo mdogo? Ni taste za mziki wa kinaigeria au Congo?
 
NYOTA ISHA CHUKULIWA WALAHI[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Yah Mkuu mimi nimesema kabisa wasave comment yangu hata Kenya wanaiogopa Tanzania sababu ya Diamomd pekee...., ila kihalisi tukimtoa Diamond Kenya wanakaribia kutuacha kimziki...., Yaani sisi tumebebwa na msanii mmoja kama Rwanda na Meddy wao ila Kenya wanazidi kufumua kimataifa kila siku mziki wa ndani wamemwachia Meja ajilie mdogomdogo amalize uzee wake salama.
 
Bila kuwa na Diamond Kenya na Uganda hatuwawezi, itarudi kama ilivyokuwa back in the day. Hatutakuwa tukiangalia figures(numbers) za Nigerian artists bali tutarudi kujilinganisha na jirani zetu na hatutawaweza kwani kiuhalisia wametuzidi kwani wao wana artists wengi ilhali sisi tuna artist mmoja tu.
 
Mbona umemjia juu huyo jamaa? Aliyeandika hayo ni gazeti la mwananchi' yeye amefanya kuipandisha tu
 
Usemacho ni sawa ila si kama mleta mada anavyo taka kuaminishi watu, Ni kweli namba zake zimeshuka ila yeye bado ni kinara east africa. Hakuna aliye mpiku hadi sasa
 
Tehetehe hebu nitajie msanii mmoja tu wa kenya ambae anakimbiza kimataifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni upuuzi asee Africa mashariki tz ndio ina wasanii wengi wanaofanya vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimlaumu mleta mada naamini hili bandiko kalitoa sehemu n kiuhalisia shindanisha tz kwa tz ukishindanisha na naija alooo wale wako next level hata idadi tu ya wananchi wao ni kubwa hivyo support ni kubwa ungesema yupo msanii wa tz aliemshusha diamond ningekuelewa ila bado unashindaninsha na naijeria asee wale lazima watuache parefu kidogo
 
Diamond atafute collabo moja na Mkongo tena ili namba zake zipande. Naona ana nyota sana akiimba na wakongo na ndio nyimbo zake zote zatu alizoimba na Wakongo zina watazamaji kuanzia milioni 100+
Tukienda kwa msanii aliyeimba peke yake bila kushirikisha na kutazamwa zaidi Tanzania, Zuchu anashika namba moja (Sukari 88m) akifatiwa na diamond (Jeje 80m)
 
Naona watu wanatoa povu, wanataka Mondi Asifiwe tu. Hoja zijibiwe kwa hoja.
Je ameshuka au anazidi kupanda kimuziki?
Je anaelekea kubaki kuwa local artists au anazidi kutawala nje ya TZ na Afrika?
na kingine ni kwamba hiyo record ya views billion 2 burna boy kaifikia tayari...
 
We jamaa acha kutulisha matango pori umesema YouTube imeanzishwa 14 February 2015 halafu Monday kajiunga 11 June 2011

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…