Rekodi ya Simba miaka minne ya makombe

Rekodi ya Simba miaka minne ya makombe

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Simba SC πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†

NGOJA NIWAKUMBUSHE MISIMU MINNE MFULULIZO YA MABINGWA WA VPL SIMBA SC:

πŸ‘‰ 2017/2018
Ponti: 62
Goli za kufunga: 62
Goli za kufungwa: 15
Mfungaji bora:Okwi ⚽ 20
Bingwa: SIMBA

πŸ‘‰ 2018/2019
Point: 93
Goli za kufunga:77
Goli za kufungwa: 15
Mfungaji bora: Kagere ⚽ 23
Bingwa: SIMBA

πŸ‘‰ 2019/2020
Pointi: 88
Goli za kufunga: 78
Goli za.kufungwa: 21
Mfungaji bora:Kagere ⚽ 22
Bingwa: SIMBA

πŸ‘‰ 2020/2021
Pointi: 83
Goli za kufunga: 78
Goli za kufungwa: 14
Mfungaji bora: John Bocco ⚽16
Bingwa: SIMBA

Tumeweka.rekodi.miaka.minne mfululizo kwa kubeba kombe la VPL na kutoa mfungaji bora
kwani wao wanasemajeee

⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽
πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Simba SC [emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]

NGOJA NIWAKUMBUSHE MISIMU MINNE MFULULIZO YA MABINGWA WA VPL SIMBA SC:

[emoji117] 2017/2018
Ponti: 62
Goli za kufunga: 62
Goli za kufungwa: 15
Mfungaji bora:Okwi [emoji460] 20
Bingwa: SIMBA

[emoji117] 2018/2019
Point: 93
Goli za kufunga:77
Goli za kufungwa: 15
Mfungaji bora: Kagere [emoji460] 23
Bingwa: SIMBA

[emoji117] 2019/2020
Pointi: 88
Goli za kufunga: 78
Goli za.kufungwa: 21
Mfungaji bora:Kagere [emoji460] 22
Bingwa: SIMBA

[emoji117] 2020/2021
Pointi: 83
Goli za kufunga: 78
Goli za kufungwa: 14
Mfungaji bora: John Bocco [emoji460]16
Bingwa: SIMBA

Tumeweka.rekodi.miaka.minne mfululizo kwa kubeba kombe la VPL na kutoa mfungaji bora
kwani wao wanasemajeee

[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Ngoja utopolo waje na statics zao za ubingwa wa kihistoria!!

CC Tate Mkuu
 
Tumeweka.rekodi.miaka.minne mfululizo kwa kubeba kombe la VPL na kutoa mfungaji bora kwani wao wanasemajeee
 
Tate Mkuu , weka rekodi hapa tuione . Acha porojo.

Yanga hatuna mwembwe kama nyinyi! Angalia mwenyewe kwa wakati wako, halafu utaona kuanzia 2010 mpaka 2016 Yanga imechukua ubingwa wa ligi kuu mara ngapi!
 
Hivi Azam ya Bocco na Kipre Cheche ilichukua ubingwa mwaka gani vile? Hivi Simba ya Mafisango na Okwi iliyomfunga Yanga 5 mtungi na kuchukua ubingwa ilikuwa mwaka gani vile? Nikumbushe

Maswali kama haya ukimuuliza tajiri yako Mo anaweza akakulamba kibao! Mimi nimesema hivi, kati ya mwaka 2010 na 2016, Yanga ilichukua ubingwa wa Ligi kuu mara 3 mfululizo!

Kipindi hicho rais wa TFF alikuwa ni Jamal Malinzi, na Yanga ilikuwa chini ya Manji!
 
Sasa hapa naona kama haiko poa

kwasababu azam alichukua 2013

Wewe unatuambia 2010-2016 ulichukua mara tatu mfululizo hivi unaona hesabu zako zipo sahihi hapo?
 
Sasa hapa naona kama haiko poa

kwasababu azam alichukua 2013

Wewe unatuambia 2010-2016 ulichukua mara tatu mfululizo hivi unaona hesabu zako zipo sahihi hapo?

Mashabiki wa simba ni wabishi sana. Ngoja wataalamu wa rekodi za Yanga nao waje.

Nimesema kati ya 2010 na 2016! Sasa hapo huoni bado nipo sahihi! Mfano akiwa amechukua 2014, 2015 na 2016! Jumla ni mara ngapi?
 
Back
Top Bottom