Simba SC 🏆🏆🏆🏆
NGOJA NIWAKUMBUSHE MISIMU MINNE MFULULIZO YA MABINGWA WA VPL SIMBA SC:
👉 2017/2018
Ponti: 62
Goli za kufunga: 62
Goli za kufungwa: 15
Mfungaji bora:Okwi ⚽ 20
Bingwa: SIMBA
👉 2018/2019
Point: 93
Goli za kufunga:77
Goli za kufungwa: 15
Mfungaji bora: Kagere ⚽ 23
Bingwa: SIMBA
👉 2019/2020
Pointi: 88
Goli za kufunga: 78
Goli za.kufungwa: 21
Mfungaji bora:Kagere ⚽ 22
Bingwa: SIMBA
👉 2020/2021
Pointi: 83
Goli za kufunga: 78
Goli za kufungwa: 14
Mfungaji bora: John Bocco ⚽16
Bingwa: SIMBA
Tumeweka.rekodi.miaka.minne mfululizo kwa kubeba kombe la VPL na kutoa mfungaji bora kwani wao wanasemajeee
⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽
🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Weka rekodi ya kufungwa mara nne mfululizo na Yanga ya sasa hivi.
Na weka rekodi ya kufungwa mara sita mfululizo na Yanga ya mwaka 1990-1992, ambapo kuna mechi mlikimbia uwanjani baada ya kuona alilowaambia mganga wenu halijatiki. Mlicheza first half ikawa 0-0 wakati mganga aliwaambia mtashinda 1st half, na kwamba msiposhinda 1st half mjue mtafungwa goli nyingi. Mkakimbia 2nd half hamkurudi uwanjani
😀 😀 😀
Kuhusu ubingwa rekodi kamili ni hizi hapa:
Yanga na Simba ndizo zilizo chukua ubingwa mara nyingi zaidi kuliko nyingene zote hapa Tanzania Bara…
tanzaniasports.com
Mpaka mwisho wa msimu wa 2023/2024 Yanga ni bingwa mara 30, Simba ni bingwa mara 22.
Kuhusu mifululuzo Yanga ndo wa kwanza kuchukua mara nyingi mfululizo (mara 5) halafu ndo Simba akafuatia.
Na kuhusu kuchukua kombe moja kwa moja (yaani mara tatu mfululilo aka trebles) Yanga amechukua mara TANO kombe moja kwa moja. Yaani ana trebles TANO.
Simba mna trebles MBILI tu.
Simba haijawahi kumzidi Yanga hata siku moja kwenye mambo ya maana kimpira - yaani makombe ya ligi zinazoeleweka. Labda mkileta na makombe ya kizushi/mepesi kama vile ya Muungano, Mapinduzi, Shirikisho TFF na CECAFA/Kagame hapo mnaweza mkapigapiga kelele.
Kwenye makombe ya CAF na FIFA bado wote tuna sifuri hakuna wa kumpigia kelele mwenzake.