Rekodi ya Simba miaka minne ya makombe

Rekodi ya Simba miaka minne ya makombe

unaweza kuta na ushindi wa utopolo huko wanakosema hakuna hata mchezaji bora au mfungaji bora
 
unaweza kuta na ushindi wa utopolo huko wanakosema hakuna hata mchezaji bora au mfungaji bora

Umeshawahi kusikia jina la Simon Happygodi Msuva? Ndiyo alikuwa mfungaji bora kipindi hicho sasa! Tena akiwa kiungo mshambuliaji wa pembeni.
 
Kumbe wewe huna hata ukijuacho unasubiri Maulidi na Haji Manara wakuletee propaganda ujifurahishe.

Yanga kuchukua ubingwa mara 3 mfululizo kabla ya simba, siyo propaganda za huyo Haji Manara na Maulidi Kitenge!

Huo ndiyo ukweli wenyewe.
 
Umeshawahi kusikia jina la Simon Happygodi Msuva? Ndiyo alikuwa mfungaji bora kipindi hicho sasa! Tena akiwa kiungo mshambuliaji wa pembeni.
Mzee mbona unaogopa!? Ngoja tuanze kuweka rekodi sawa ukiwa unamsubiri Haji akulishe matango pori.
Screenshot_20220222-192419.png
 
[emoji123][emoji123]Na leo jioni tunampiga Mtibwa pale pale nyumbani kwake Manungu, waliposhindwa Makolo fc na kusingizia eti uwanja ni mbovu!
Iyo Iko Wazi Mzee Wangu Kama K Ya Mbuzi, Leo Tunapasua Mtu Kama Wengine Wanavyopasuka Wakikutana Na Yanga
 
Simba SC 🏆🏆🏆🏆


NGOJA NIWAKUMBUSHE MISIMU MINNE MFULULIZO YA MABINGWA WA VPL SIMBA SC:

👉 2017/2018
Ponti: 62
Goli za kufunga: 62
Goli za kufungwa: 15
Mfungaji bora:Okwi ⚽ 20
Bingwa: SIMBA

👉 2018/2019
Point: 93
Goli za kufunga:77
Goli za kufungwa: 15
Mfungaji bora: Kagere ⚽ 23
Bingwa: SIMBA

👉 2019/2020
Pointi: 88
Goli za kufunga: 78
Goli za.kufungwa: 21
Mfungaji bora:Kagere ⚽ 22
Bingwa: SIMBA

👉 2020/2021
Pointi: 83
Goli za kufunga: 78
Goli za kufungwa: 14
Mfungaji bora: John Bocco ⚽16
Bingwa: SIMBA

Tumeweka.rekodi.miaka.minne mfululizo kwa kubeba kombe la VPL na kutoa mfungaji bora
kwani wao wanasemajeee


⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽
🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Weka rekodi ya kufungwa mara nne mfululizo na Yanga ya sasa hivi.

Na weka rekodi ya kufungwa mara sita mfululizo na Yanga ya mwaka 1990-1992, ambapo kuna mechi mlikimbia uwanjani baada ya kuona alilowaambia mganga wenu halijatiki. Mlicheza first half ikawa 0-0 wakati mganga aliwaambia mtashinda 1st half, na kwamba msiposhinda 1st half mjue mtafungwa goli nyingi. Mkakimbia 2nd half hamkurudi uwanjani 😀 😀 😀

Kuhusu ubingwa rekodi kamili ni hizi hapa:


Mpaka mwisho wa msimu wa 2023/2024 Yanga ni bingwa mara 30, Simba ni bingwa mara 22.

Kuhusu mifululuzo Yanga ndo wa kwanza kuchukua mara nyingi mfululizo (mara 5) halafu ndo Simba akafuatia.

Na kuhusu kuchukua kombe moja kwa moja (yaani mara tatu mfululilo aka trebles) Yanga amechukua mara TANO kombe moja kwa moja. Yaani ana trebles TANO.

Simba mna trebles MBILI tu.

Simba haijawahi kumzidi Yanga hata siku moja kwenye mambo ya maana kimpira - yaani makombe ya ligi zinazoeleweka. Labda mkileta na makombe ya kizushi/mepesi kama vile ya Muungano, Mapinduzi, Shirikisho TFF na CECAFA/Kagame hapo mnaweza mkapigapiga kelele.

Kwenye makombe ya CAF na FIFA bado wote tuna sifuri hakuna wa kumpigia kelele mwenzake.
 
Back
Top Bottom