Rekodi yawekwa,SAUT MTWARA waandamana

Rekodi yawekwa,SAUT MTWARA waandamana

Mgwadila

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
60
Reaction score
12
Ni baada ya wanachuo kushindwa kuvumilia hali ya sintofaham inayoendelea kukosa pesa ya mkopo,wanafunz hao wameita uongozi wa chuo na kuongea nao na walipokosa majibu ya kuvutia wanafunzi hao wakaandamana kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa
 
Hivi Mtwara kuna SAUT? Nijuavyo kule SAUT ilibadilishwa na kuwa STEMMUCO!
 
Mkuu wa chuo anapita kuhamasisha watu waingie madarasani lakini wanamjibu "you cant argue with a hungry person"
 
all the Best SAUT,fanyeni yenu tena diplomsia akishindikana basi wapingwe,cos hii serikali imeoza na sasa naona inanuka,kibinadamu bord wanajua mnakula nn sasa?na hawa police mm sijui wakoje aisee?wanaida serikali mbaya kabisa wengi wao walio pandishwa vyeo awajalipwa,lakini wakiambiwa nendeni mkazuie maandamano wanapiga watu,AKILI ZA KUAMBIWA JUMLISHA NA ZA KWAKO.ALL THE BEST NAWATAKIA MANDAAMANO MEMA YENYE TIJA KWA VYUO VYETU NA WATOTO WETU KWA UJUMLA,ILA POLISI WAKIWA piga msikae kimya,
 
daah poleni........aisee ndugu zanguni!

japokuwa sie tulishapewa mpaka now linaelekea kuisha

ila nawaonea huruma ndugu zangu for real hivi serikali haijiulizi mnaishije katika hali kama hii.....for real sorry sorry my fellow's students
 
Kweli mwanangu na maisha ya mtwara ni magum kishenz
 
all the Best SAUT,fanyeni yenu tena diplomsia akishindikana basi wapingwe,cos hii serikali imeoza na sasa naona inanuka,kibinadamu bord wanajua mnakula nn sasa?na hawa police mm sijui wakoje aisee?wanaida serikali mbaya kabisa wengi wao walio pandishwa vyeo awajalipwa,lakini wakiambiwa nendeni mkazuie maandamano wanapiga watu,AKILI ZA KUAMBIWA JUMLISHA NA ZA KWAKO.ALL THE BEST NAWATAKIA MANDAAMANO MEMA YENYE TIJA KWA VYUO VYETU NA WATOTO WETU KWA UJUMLA,ILA POLISI WAKIWA piga msikae kimya,

This government is dormant
 
daah poleni........aisee ndugu zanguni!

japokuwa sie tulishapewa mpaka now linaelekea kuisha

ila nawaonea huruma ndugu zangu for real hivi serikali haijiulizi mnaishije katika hali kama hii.....for real sorry sorry my fellow's students

Asante mkuu
 
hali ilikuwa tete
 
Attachments

  • 1401438258201.jpg
    1401438258201.jpg
    67 KB · Views: 136
  • 1401438288041.jpg
    1401438288041.jpg
    57.8 KB · Views: 134
Msalimieni Longino Lutabwelela, Aidan Msafiri, Kopoka na madam Maua. C tulimalza huko 2012 sasa tunakula bata maofisini,
 
Back
Top Bottom