Rekodi za SIMBA na kama wenye vyeti vya kuunga unga

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Kwenye rekodi ya timu ya kwanza kuchukua ubingwa ligi ya Tanganyika inasomeka SUNDERLAND lakini Simba wanadai ndiyo wao ila jina limebadilika

Fainali ya CAF CUP 1993 SImba wanadai ndiyo CAF CONFEDERATION CUP ila JINA LIMEBADILIKA

kwanini nyie ndugu zangu rekodi zenu mpaka kuderive derive?
 
Ukweli ndio huo, inabaki kuwa ni Simba. Hata ukibadili jina au dini (kama Mzize), nafsi haibadiliki
 
Kwan uefa Champions league ilikuwa inaitwaje

Kwan Premier league ya uingereza zaman ilikuwa inaitwaje

BA NTWA BA USM ALGER
 
Back
Top Bottom