Rekodi za Yanga dhidi ya Kaizer na wengine

Rekodi za Yanga dhidi ya Kaizer na wengine

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Maandishi hayafutiki wala hayaongopi, hii ndio historia ya UTOPOLO FC kwa timu za nje.

Sasa wanapomcheka na kumbeza mnyama wanajifariji tu.

IMG-20210516-WA0034.jpg
 
hii mechi Mohammed Hussein alipotea mchezoni kabla ata ya mechi kuanza, marefa walimuongelesha kingereza kingi akaingiwa na uoga matokeo yake mechi nzima akajikuta anaruka ruka tu uwanjani .. [emoji23][emoji23]
 
Simba ni wajinga sana!

Tatizo lao kubwa, mpira wao anaanza kucheza Manara kwanza kisha ndio wanaingia uwanjani tayari wakiwa wameshinda baada ya Manara kucheza kwa njia ya mdomo matokeo yake ndio haya.
 
Back
Top Bottom