Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Mkubwa usiondoke kaa hapo hapo, nikitoka msalani nakuja na list ya vipigo vya simba. Just be patient mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Mshana na wewe mnyama?Maandishi hayafutiki wala hayaongopi..hii ndio historia ya UTOPOLO FC kwa timu za nje... Sasa wanapomcheka na kumbeza mnyama wanajifariji tuuuView attachment 1787047
Kawaida wachawi ni washabiki wa simba.Kumbe Mshana na wewe mnyama?
Kimepanuka kwenda wapi😂😂😂😂🤣🤣🤣 wewe ujakiona hicho kikosi kipana
Kwa hiyo hii rekodi hata Kama Ni ya kweli,inafuta kipigo cha four O clock cha Jana?Rekodi hio haipo imeandikwa fb kiholela Kisha wakai screenshot kupoza machungu
Rekodi zote za uongo kasoro ya raja tu
Huyo ni air Utelembwendonamuona air Manula
Nilimuona mpaka wakawa wakali kidogo.hii mechi Mohammed Hussein alipotea mchezoni kabla ata ya mechi kuanza, marefa walimuongelesha kingereza kingi akaingiwa na uoga matokeo yake mechi nzima akajikuta anaruka ruka tu uwanjani .. [emoji23][emoji23]
Walikuwa na mwenyekiti wa kuitwa Ba Mchawi.Kawaida wachawi ni washabiki wa simba.
Wanajifurahisha tu eti historia. Maneno mengi mno na kujitapa kwingi ndo maana wakati mwingine tunafurahi wakifungwa. Na msemaji wao yule dah!