Rekodi za Yanga dhidi ya Kaizer na wengine

hii mechi Mohammed Hussein alipotea mchezoni kabla ata ya mechi kuanza, marefa walimuongelesha kingereza kingi akaingiwa na uoga matokeo yake mechi nzima akajikuta anaruka ruka tu uwanjani .. [emoji23][emoji23]
 
Simba ni wajinga sana!

Tatizo lao kubwa, mpira wao anaanza kucheza Manara kwanza kisha ndio wanaingia uwanjani tayari wakiwa wameshinda baada ya Manara kucheza kwa njia ya mdomo matokeo yake ndio haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…