Rekodi za Yanga dhidi ya Kaizer na wengine

Siku zote najua huwa unafanya ka utafiki kidogo kabla ya kuandika kitu. Leo umeteleza beyond repair.

Mwaka 1988 Yanga na Kaizer Chiefs kweli? Madiba aliingia lini Urais? Kabla ya hapo kulikuwa na embargo dhidi ya Makaburu..

Hiyo 1988 hakukuwa na ushirikiano wowote na Boers. Hiyo KC yenyewe imeanzishwa 1970 na 1988 ilikuwa timu ndogo ya wastani.

Wakati huo, Sauz walikuwa hawashiriki mashindano ya CAF. Tanzania ya Nyerere kumbuka!
 
Kwisha habari yake
 
hii mechi Mohammed Hussein alipotea mchezoni kabla ata ya mechi kuanza, marefa walimuongelesha kingereza kingi akaingiwa na uoga matokeo yake mechi nzima akajikuta anaruka ruka tu uwanjani .. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu bhan
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Siku zote najua huwa unafanya ka utafiki kidogo kabla ya kuandika kitu. Leo umeteleza beyond repair.
 
Maandishi hayafutiki wala hayaongopi, hii ndio historia ya UTOPOLO FC kwa timu za nje.

Sasa wanapomcheka na kumbeza mnyama wanajifariji tu.

View attachment 1787047
Habari ya mjini kwa sasa ni timu kutoka Tanzania kwa jina la Simba, aka Mbumbumbu fc kufungwa 4G na timu inayoshika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa Ligi kule Bondeni.
 
Maandishi hayafutiki wala hayaongopi, hii ndio historia ya UTOPOLO FC kwa timu za nje.

Sasa wanapomcheka na kumbeza mnyama wanajifariji tu.

View attachment 1787047
Hii haina tofauti na MATAGA wanaohangaika kuilinda legacy ya Jiwe!!!!

Tusitoane kwenye lane tafadhali, kuweka kumbukumbu sawa,

Kaizer Chief 4,

Simba
 
Habari ya mjini kwa sasa ni timu kutoka Tanzania kwa jina la Simba, aka Mbumbumbu fc kufungwa 4G na timu inayoshika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa Ligi kule Bondeni.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji43][emoji35][emoji83][emoji48][emoji34][emoji84]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…