Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #101
Sawa asante kwa ushauriWewe rudi kwenye mambo yako ya tunguli, hizi rekodi ni za kupika.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa asante kwa ushauriWewe rudi kwenye mambo yako ya tunguli, hizi rekodi ni za kupika.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwisha habari yakeSiku zote najua huwa unafanya ka utafiki kidogo kabla ya kuandika kitu. Leo umeteleza beyond repair.
Mwaka 1988 Yanga na Kaizer Chiefs kweli? Madiba aliingia lini Urais? Kabla ya hapo kulikuwa na embargo dhidi ya Makaburu..
Hiyo 1988 hakukuwa na ushirikiano wowote na Boers. Hiyo KC yenyewe imeanzishwa 1970 na 1988 ilikuwa timu ndogo ya wastani.
Wakati huo, Sauz walikuwa hawashiriki mashindano ya CAF. Tanzania ya Nyerere kumbuka!
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu bhanhii mechi Mohammed Hussein alipotea mchezoni kabla ata ya mechi kuanza, marefa walimuongelesha kingereza kingi akaingiwa na uoga matokeo yake mechi nzima akajikuta anaruka ruka tu uwanjani .. [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Siku zote najua huwa unafanya ka utafiki kidogo kabla ya kuandika kitu. Leo umeteleza beyond repair.Siku zote najua huwa unafanya ka utafiki kidogo kabla ya kuandika kitu. Leo umeteleza beyond repair.
Mwaka 1988 Yanga na Kaizer Chiefs kweli? Madiba aliingia lini Urais? Kabla ya hapo kulikuwa na embargo dhidi ya Makaburu..
Hiyo 1988 hakukuwa na ushirikiano wowote na Boers. Hiyo KC yenyewe imeanzishwa 1970 na 1988 ilikuwa timu ndogo ya wastani.
Wakati huo, Sauz walikuwa hawashiriki mashindano ya CAF. Tanzania ya Nyerere kumbuka!
Kautafiti....😇😇😇[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Siku zote najua huwa unafanya ka utafiki kidogo kabla ya kuandika kitu. Leo umeteleza beyond repair.
Yanga anahusika na generation ambayo hatujaifikia bado... mwendo wa 16G !Yanga hausiki na 4g jaman [emoji1787]
Kwa matokeo haya basi manunu watakua washapita nusu fainalYanga anahusika na generation ambayo hatujaifikia bado... mwendo wa 16G !
Wala huna haja y kutoa taarifa,wewe weka bandiko hapa.Mkubwa usiondoke kaa hapo hapo, nikitoka msalani nakuja na list ya vipigo vya simba. Just be patient mkuu
Hivi vipigo vya Simba ilikuwa ni netball au soka??
Mi nlifikiri ilikuwa timu ya netbol ya utopolo,kuangalia vizuri nikagundua ni hawa hawa mlienda.1972 Yanga 0-16 Mazembe,hii ni kali asee,duh,,!'kweli Utopolo ni Utopolo kiasili!
Habari ya mjini kwa sasa ni timu kutoka Tanzania kwa jina la Simba, aka Mbumbumbu fc kufungwa 4G na timu inayoshika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa Ligi kule Bondeni.Maandishi hayafutiki wala hayaongopi, hii ndio historia ya UTOPOLO FC kwa timu za nje.
Sasa wanapomcheka na kumbeza mnyama wanajifariji tu.
View attachment 1787047
Eti wanasingizia tuliwanyima match fitness ndiyo maana walifungwa 4G!! 😂😂😂Yanga hausiki na 4g jaman [emoji1787]
Hii haina tofauti na MATAGA wanaohangaika kuilinda legacy ya Jiwe!!!!Maandishi hayafutiki wala hayaongopi, hii ndio historia ya UTOPOLO FC kwa timu za nje.
Sasa wanapomcheka na kumbeza mnyama wanajifariji tu.
View attachment 1787047
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji43][emoji35][emoji83][emoji48][emoji34][emoji84]Habari ya mjini kwa sasa ni timu kutoka Tanzania kwa jina la Simba, aka Mbumbumbu fc kufungwa 4G na timu inayoshika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa Ligi kule Bondeni.
[emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hii haina tofauti na MATAGA wanaohangaika kuilinda legacy ya Jiwe!!!!
Tusitoane kwenye lane tafadhali, kuweka kumbukumbu sawa,
Kaizer Chief 4,
Simba View attachment 1788668