Rekodi za Yanga kuruka ukuta mechi za dabi inatisha

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Katika kila mechi za dabi Yanga imekuwa ni timu ya kupigwa faini kwa tabia za kugoma kupitia geti kuu. Ni wazi hayo yamekuwa maelekezo ya waganga mbalimbali wa Yanga.

Mchezo uliopita Yanga ilipigwa faini ya shilingi Milioni tano na Shirikisho la Mpira wa Soka Tanzania(TFF) kwa kosa la kuingia chumba cha kuvalia nguo kwa kutumia mlango ambao sio rasmi kuelekea mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba.

Mwaka juzi Klabu ya Yanga ilipigwa faini ya shilingi milioni 3 kwa kukiuka taratibu za mchezo vs Simba Sc ikiwemo kuvunja mageti na kufuli za mageti husika wakati wa timu kuwasili.

Orodha ni ndefu wasinichoshe. Idadi ya waganga pia ni excel nzima.

Tusubiri jumapili sijui safari hii watavunja nini, au watapita juu?!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
UTO BANA
 
Ngoja tusubiri tuone
 
Yanga ni team inayoharibu mpira wa Tanzania kwa rushwa ya kugonga marefa
 
naona mmeanza kutafuta visingizio......
Subiri match, kuingia uwanjani hata kwa helicopter hakubadilishi matokeo
 
Watakuvunja wewe
 
Kwani anayeroga na anayejirinda dhidi ya hayo malogezi nani mchawi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…