Rekodi za Yanga v Simba zisizosemwa

Rekodi za Yanga v Simba zisizosemwa

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Nimeikuta sehemu hii
IMG-20220918-WA0015.jpg
 
Kuna timu inaanzia kwa mkapa baba jeni bye bye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
kitakachowapata watarejea kazi yao ya kupokea wageni.
 
Uto wajinga sana kwani miaka hiyo ya 1938 simba ilikuwa inaitwa jina hilo ama Sunderland?? na hiyo nembo ya Simba ndivyo ilikuwa ikionekana miaka hiyo?
 
Yule mwenye gazeti linalohusu yanga ni timu gani arushie kapicha plz
 
Kumbuk tu huo mwaka walikuwa hawaitwi Simba waliitwa the queens FC ninawasiwasi na hii
 
Yanga kweli ni mabingwa wa kihistoria.
 
Back
Top Bottom