Rekodi zinaonesha Arsenal imepoteza katika Fainali 5 za Michuano ya Ulaya

Rekodi zinaonesha Arsenal imepoteza katika Fainali 5 za Michuano ya Ulaya

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Mei 30, 2026, Arsenal ilipoteza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain (PSG) Kwenye Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Budapest nchini Hungary.

Ilipoteza kwa matuta 4-3 baada ya sare ya goli 1-1 katika muda wa kawaida, kipigo hicho kilikuwa cha tano katika fainali 5 ambazo Arsenal imecheza kwenye Michuano yote ya Ulaya.

Tujikumbushe fainali zilizopita:

2026: UEFA Champions League
PSG 1-1 Arsenal (Penati 4-3)

2019: Europa League
Chelsea 4-1 Arsenal

2006: UEFA Champions League
Barcelona 2-1 Arsenal

2000: UEFA Cup Final
Galatasaray 0-0 Arsenal (Penati 4-1)

1995: European Cup Winners' Cup
Real Zaragoza 2-1 Arsenal
 
Back
Top Bottom