Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
WAZEE WA MWIKO NYUMA HAUWEZI KUWAONA HAPA.Hakuna ubishi...
Simba nguvu moyaaa
Bora upigane ila ufe kiuwanaume history itakubebaWazee wa kufa kiume [emoji23][emoji23]
Labda club Bora Kwa uchawi
Zinaingia kwenye recordStori za kufa kiume zime expire sasa zimeanza za rekodi?
Hatimae wameshafanikiwa kutetea kombe lao moja, la "Kufa kiume"Wazee wa kufa kiume [emoji23][emoji23]
Labda club Bora Kwa uchawi
NB: UKIBISHA LETE REKODI YA TIMU YAKO DHIDI YA AL AHLY.Wazee wa kufa kiume [emoji23][emoji23]
Labda club Bora Kwa uchawi
AhaaaaaaaaStori za kufa kiume zime expire sasa zimeanza za rekodi?
Ila umeishia roboNB: UKIBISHA LETE REKODI YA TIMU YAKO DHIDI YA AL AHLY.
KWA MSAADA ZAIDI REKODI ZA MWIKO NYUMA FC DHIDI YA AL AHLY.
JUMLA YA MECH 6.
MWIKO NYUMA AMESHINDA 1.
SARE 1.
AL AHLY AMESHINDA 4.
NB: Ukibisha lete rekodi ya timu dhidi ya al ahly.I
ILa umeishia robo
Mwakarobo fcNB: Ukibisha lete rekodi ya timu dhidi ya al ahly.
Hatuwataki kwanza wapambane kwanza na wao...WAZEE WA MWIKO NYUMA HAUWEZI KUWAONA HAPA.