Rekodi zinaonesha kuwa Simba SC ni klabu bora zaidi Afrika Mashariki

Rekodi zinaonesha kuwa Simba SC ni klabu bora zaidi Afrika Mashariki

Simba Sports Club
One Team, One Dream
Nguvu Moja!!
 
Sina hakika na record yako mkuu, vile nafahamu. Mechi ya kwanza kuzikutanisha hizi timu. Match ilianzia Misri ambazo simba alifungwa 5-0,baadae Match ilivyoamia Tanzania simba alishinda 1-0. Baadae tukakutana tena match ikaanzia Tanzania simba ikashinda 1-0. Match ya marudiano Misri Al AHLY akashinda 1-0. Baada ya hapo ndo zimefuata hizi match mbili zote ni draw 2-2, 1-1.

Head to head
AL AHLY 1-1 SIMBA
SIMBA 2-2 AL AHLY
AL AHLY 1-0 SIMBA
SIMBA 1-0 AL AHLY
SIMBA 1-0 AL AHLY
AL AHLY 5-0 SIMBA

SIMBA WIN 2
AL AHLY WIN 2
DRAW 2

TOTAL MTCH - 6
Simba ameanza kucheza na Al ahly miaka ya 80 akamfunga 2-1 mechi ilichezwa Mwanza maridhiano akafungwa 2-0, miaka hiyohiyo ya 80 akikutana na yanga akapokea kichapo cha goli 4
 
Wazee wa kufa kiume wanajulikana.si ni hawahawa wa mbele daima nyuma mwiko[emoji1][emoji1].
 
Sina hakika na record yako mkuu, vile nafahamu. Mechi ya kwanza kuzikutanisha hizi timu. Match ilianzia Misri ambazo simba alifungwa 5-0,baadae Match ilivyoamia Tanzania simba alishinda 1-0. Baadae tukakutana tena match ikaanzia Tanzania simba ikashinda 1-0. Match ya marudiano Misri Al AHLY akashinda 1-0. Baada ya hapo ndo zimefuata hizi match mbili zote ni draw 2-2, 1-1.

Head to head
AL AHLY 1-1 SIMBA
SIMBA 2-2 AL AHLY
AL AHLY 1-0 SIMBA
SIMBA 1-0 AL AHLY
SIMBA 1-0 AL AHLY
AL AHLY 5-0 SIMBA

SIMBA WIN 2
AL AHLY WIN 2
DRAW 2

TOTAL MTCH - 6
WAMEWAHI kukutana kwenye michuano ya CAF WINNERS CUP ambapo mechi ya kwanza al ahly alishinda kwao 2-0 na mechi ya marudiano SIMBA alishinda 2-1.
 
Kweli kabisa....
Huna kisa chochote mtani ukitupie turefresh jamani na ushindi wetu wa kumdindia Alhyl...
🤣 🤣
Acha mwezi huu upite, ubize upungue mtani. Mwezi ujao tutarefresh vizuri humu jukwaani😅😅😅
 
Hata Man U ni timu Bora Sana ukanda wa Bara la Ulaya na dunia kwa ujumla,,Kwa rekodi pia
 
SALAAM WAKUU.

Wakuu kama tunavyofahamu kuwa Al ahly ndio bora zaidi afrika ikiwa ndio timu yenye mengi ya kimataifa kuliko timu zote duniani.

Kwa iyo ili kupima ubora lazima uangalie rekodi zako pindi unapokutana nae.
Leo katika kuangalia rekodi nimegundua kuwa simba ndio yenye rekodi bora zaidi dhidi ya al ahly kwa timu za afrika mashariki kwani hakuna mbabe kati yao.

SIMBA VS AL AHLY.
MECHI 8.
SIMBA AMESHINDA 3.
DRAW 2.
AL AHLY AMESHINDA 3.

NB: UKIBISHA LETE REKODI YA TIMU YAKO DHIDI YA AL AHLY.
NYUZI ZA KUJIFARIJI ZIMEKUWA NYINGI HALAFU GHAFLA SANA
 
Back
Top Bottom