Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ameanza kucheza na Al ahly miaka ya 80 akamfunga 2-1 mechi ilichezwa Mwanza maridhiano akafungwa 2-0, miaka hiyohiyo ya 80 akikutana na yanga akapokea kichapo cha goli 4Sina hakika na record yako mkuu, vile nafahamu. Mechi ya kwanza kuzikutanisha hizi timu. Match ilianzia Misri ambazo simba alifungwa 5-0,baadae Match ilivyoamia Tanzania simba alishinda 1-0. Baadae tukakutana tena match ikaanzia Tanzania simba ikashinda 1-0. Match ya marudiano Misri Al AHLY akashinda 1-0. Baada ya hapo ndo zimefuata hizi match mbili zote ni draw 2-2, 1-1.
Head to head
AL AHLY 1-1 SIMBA
SIMBA 2-2 AL AHLY
AL AHLY 1-0 SIMBA
SIMBA 1-0 AL AHLY
SIMBA 1-0 AL AHLY
AL AHLY 5-0 SIMBA
SIMBA WIN 2
AL AHLY WIN 2
DRAW 2
TOTAL MTCH - 6
Aah kumbe nimekosea hapo mtani...Sema "Guvu moya"
😅😅
Wape takwimu mkuu.baeleze baelewe...Simba ameanza kucheza na Al ahly miaka ya 80 akamfunga 2-1 mechi ilichezwa Mwanza maridhiano akafungwa 2-0, miaka hiyohiyo ya 80 akikutana na yanga akapokea kichapo cha goli 4
Yeah, maana tunajua yule kanjibai hawezi tamka vizuri 😅😅Aah kumbe nimekosea hapo mtani...
Guvuuuuu moyaaaaaa
In infantino' s voice
WAMEWAHI kukutana kwenye michuano ya CAF WINNERS CUP ambapo mechi ya kwanza al ahly alishinda kwao 2-0 na mechi ya marudiano SIMBA alishinda 2-1.Sina hakika na record yako mkuu, vile nafahamu. Mechi ya kwanza kuzikutanisha hizi timu. Match ilianzia Misri ambazo simba alifungwa 5-0,baadae Match ilivyoamia Tanzania simba alishinda 1-0. Baadae tukakutana tena match ikaanzia Tanzania simba ikashinda 1-0. Match ya marudiano Misri Al AHLY akashinda 1-0. Baada ya hapo ndo zimefuata hizi match mbili zote ni draw 2-2, 1-1.
Head to head
AL AHLY 1-1 SIMBA
SIMBA 2-2 AL AHLY
AL AHLY 1-0 SIMBA
SIMBA 1-0 AL AHLY
SIMBA 1-0 AL AHLY
AL AHLY 5-0 SIMBA
SIMBA WIN 2
AL AHLY WIN 2
DRAW 2
TOTAL MTCH - 6
Kweli kabisa....Yeah, maana tunajua yule kanjibai hawezi tamka vizuri 😅😅
Naona huna hali mr mwiko nyuma...Wazee wa kufa kiume [emoji23][emoji23]
Labda club Bora Kwa uchawi
Acha mwezi huu upite, ubize upungue mtani. Mwezi ujao tutarefresh vizuri humu jukwaani😅😅😅Kweli kabisa....
Huna kisa chochote mtani ukitupie turefresh jamani na ushindi wetu wa kumdindia Alhyl...
🤣 🤣
Sawa haina shida..pambana mkuu ukitulia utatushtua...Acha mwezi huu upite, ubize upungue mtani. Mwezi ujao tutarefresh vizuri humu jukwaani😅😅😅
Pamoja sana mtani 👊Sawa haina shida..pambana mkuu ukitulia utatushtua...
Tupo tunasubiri mkuu ila mpaka saizi bado hawajaleta.Wakileta records zao utopolo mnijulishe
NYUZI ZA KUJIFARIJI ZIMEKUWA NYINGI HALAFU GHAFLA SANASALAAM WAKUU.
Wakuu kama tunavyofahamu kuwa Al ahly ndio bora zaidi afrika ikiwa ndio timu yenye mengi ya kimataifa kuliko timu zote duniani.
Kwa iyo ili kupima ubora lazima uangalie rekodi zako pindi unapokutana nae.
Leo katika kuangalia rekodi nimegundua kuwa simba ndio yenye rekodi bora zaidi dhidi ya al ahly kwa timu za afrika mashariki kwani hakuna mbabe kati yao.
SIMBA VS AL AHLY.
MECHI 8.
SIMBA AMESHINDA 3.
DRAW 2.
AL AHLY AMESHINDA 3.
NB: UKIBISHA LETE REKODI YA TIMU YAKO DHIDI YA AL AHLY.
Wacha maneno mkuu lete rekodi za timu yako dhidi ya miamba ya soka duniani AL AHLY tuone.NYUZI ZA KUJIFARIJI ZIMEKUWA NYINGI HALAFU GHAFLA SANA