Rekodi zinaonesha kuwa Simba SC ni klabu bora zaidi Afrika Mashariki

Sawa Mwakarobo FC hongereni kwa kufa kiume. Badala ya kupambana msonge mbele mnabaki kila mwaka kujisifia vitu visivyoeleweka. Ingekuwa timu ya malengo kweli miaka yote walau mngekuwa mnavuka hiyo hatua. Yaani mbumbumbu mnaridhika kuishia robo, mnachekesha nyie.
 
Kufa Kiume FC aka Mwakarobo FC wazee wenyewe.
 
Leo ndio nimeamini uchawi kwenye mpira upo,kipindi Cha kwanza kina Tau walikua wakifika golini ,badala ya kufunga ,wanakua hawaelewi cha kufanya.wanaishia kupoteza,bila hivyo leo ilikua iishe 5 -1
Hivi nyie Utopolo hamnaga Kazi za kufanya kila siku mnashinda mtandaoni kuweka upotoshaji wa mambo,Simba ameshiriki ligi bora kabisa(AFL)katika sayari yetu Dunia kwa kuwa na ubora mkubwa kabisa kushinda Timu lenu lenye ubingwa wa kisiasa hapa nchini.
 
Ndo hvyo mkuu na walikuwa wana mshabikia,,,sas sjui akirud tena watamshabikia 🤣🤣🤣
 
Tz Kuna wapumbavu ndio maana hata umeme unaporudi mijitu mnashangilia huoooo!!.
Yaani unakuwa bora kwakutoa draw na Al Ahly?, Huyo usm Algers aliyemkanda asemeje? Hebu tupunguze upumbavu?. Ubora unakura hamsaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…