Songíto;3052465 said:kaka mtoto hafundishwi kunyonya!! akizaliwa tu mwenyewe anakamata nyonyo, unadhani kwa nini hang'ang'anii kidevu anang'ang'ania nyonyo? hapa nataka kusema nini unajua? kama hili jambo si la mzaha basi yale mambo yetu utayaweza tu iwe umewahi kufanya au haujawahi..sema utachokosa ni manjonjo ya ziada tu kwa mwenzio... kwa kuwa inaonekana unaweza kutumia mtandao? simple google kwenye mtandao tafuta mambo yanayohusiana na "love making"... all the best!! kitu ikitiki uje utupe ushuhuda wa kufanikiwa
Just get prepared to find that your woman is no longer a virgin. Unajua anataka akupe mapema ili ukute hali si shwari na u-get used to that situation ili hatimaye wakati wa harusi ukifika uwe umeshasahau
Songíto;3052465 said:kaka mtoto hafundishwi kunyonya!! akizaliwa tu mwenyewe anakamata nyonyo, unadhani kwa nini hang'ang'anii kidevu anang'ang'ania nyonyo? hapa nataka kusema nini unajua? kama hili jambo si la mzaha basi yale mambo yetu utayaweza tu iwe umewahi kufanya au haujawahi..sema utachokosa ni manjonjo ya ziada tu kwa mwenzio... kwa kuwa inaonekana unaweza kutumia mtandao? simple google kwenye mtandao tafuta mambo yanayohusiana na "love making"... all the best!! kitu ikitiki uje utupe ushuhuda wa kufanikiwa
My question is that,my girlfriend wants to have sex,I don't know where to start while she knows about our situations we have...I need your helps
Inawezekana, mi niliingia ktk gem at 27mvulana wa miaka 29? Virgin?
Hebu jifanyie uchunguzi kama asubuhi na yeye husalimia dari?
Songíto;3052465 said:kaka mtoto hafundishwi kunyonya!! akizaliwa tu mwenyewe anakamata nyonyo, unadhani kwa nini hang'ang'anii kidevu anang'ang'ania nyonyo? hapa nataka kusema nini unajua? kama hili jambo si la mzaha basi yale mambo yetu utayaweza tu iwe umewahi kufanya au haujawahi..sema utachokosa ni manjonjo ya ziada tu kwa mwenzio... kwa kuwa inaonekana unaweza kutumia mtandao? simple google kwenye mtandao tafuta mambo yanayohusiana na "love making"... all the best!! kitu ikitiki uje utupe ushuhuda wa kufanikiwa
mvulana wa miaka 29? Virgin?