DEVINE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 536
- 86
hajui yakuwa siku hizi kuna bikira bandia.Futa kauli, unamaana gani unaposema ni bikira 100%?
Usiuemee moyo, bora ukae kimya. Watu wana siri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hajui yakuwa siku hizi kuna bikira bandia.Futa kauli, unamaana gani unaposema ni bikira 100%?
Usiuemee moyo, bora ukae kimya. Watu wana siri!
Thanks for your comments,Uhakika kwamba ni bikira ninao 100% pia mazingira aliyokuwa nayo nayafahamu mpaka hapo alipo.Tatizo kubwa lipo kwangu.........!Sababu sikuwahi kuwa na mahusiano tofauti na msichana mwingine na Nina uhakika kuwa niko safi.Bado ninahitaji comments zenu ambazo naamini zitanifanya Baba mwema ktk familia.Ninaamin JF una members ambao wapo active ktk kutoa ushauri ktk masuala ya mahusiano na masuala mengine ya kijamii,Ki ukweli umri ni mkubwa nilionao But masuala ya kimapenzi niliyapotezea na pia mazingira yangu ya masomo na kazi yaliniweka busy,so sikuwahi kuwaza lini......!