Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Mar 13, 2025 #1 Wakuu naomba anaeweza kueleza vizuri kuhusu theory ya relativity ya Einstein aje. Nilisoma physics Advance lakini niwe mkweli nilikariri. Nimeangali tutorials nyingi lakini bado sielewi. Mwenye kuelewa atufafanulie kwa kiswahili labda lugha chenga.
Wakuu naomba anaeweza kueleza vizuri kuhusu theory ya relativity ya Einstein aje. Nilisoma physics Advance lakini niwe mkweli nilikariri. Nimeangali tutorials nyingi lakini bado sielewi. Mwenye kuelewa atufafanulie kwa kiswahili labda lugha chenga.
Odense JF-Expert Member Joined Nov 3, 2020 Posts 1,189 Reaction score 1,585 Mar 13, 2025 #2 Mfatilie Brian Cox anaelezea vizuri na simple kumuelewa