Relativity Explained

Relativity Explained

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
26,021
Reaction score
79,710
Wakuu naomba anaeweza kueleza vizuri kuhusu theory ya relativity ya Einstein aje.

Nilisoma physics Advance lakini niwe mkweli nilikariri. Nimeangali tutorials nyingi lakini bado sielewi.

Mwenye kuelewa atufafanulie kwa kiswahili labda lugha chenga.
 
Mfatilie Brian Cox anaelezea vizuri na simple kumuelewa
 
Back
Top Bottom