Reli mpya ya kisasa SGR yazinduliwa Kenya

Reli mpya ya kisasa SGR yazinduliwa Kenya

It's just a matter of time bro just wait for our SGR, It will be one of the best SGR in Africa plus those in Morocco and South Africa... Its miracle to inaugurate something today but it's quality is very poor compared to those inaugurated by Moroccans and South Africans years ago... Can't you ask yourself why President Magufuli decided to drag away the contract with the Chineses and take Turkeys +Portugueses.... #wameibiwa#mitungiYagesi

Bora mitungi ya gesi, hiyo ni mitungi ya chang'aa.
 
Duuuh.. Hiyo treni yenyewe mbona kama MITUNGI YA GESI ya oryx.. Ni za mwendokasi kweli hizo mbona old school sana.. Poleni kwa kubambikwa Mchina hana masihara kabisa [HASHTAG]#RIPkenyansSGR[/HASHTAG]
vipi kuhusu yenu ambayo ni ndoto za almasi....hehe!!!jamaa wenu hana hela na anazindua reli...dah! naskia anakopa kopa kama malaya eti
 
Bora mitungi ya gesi, hiyo ni mitungi ya chang'aa.
mitungi ambayo inapeleka cargo Uganda...hehe..pesa inaingia kwel kwel...mtabaki maskini wa LDC milele..sisi tunapepea na mitungi yetu
 
Mbona Injini yenyewe inaonekan ya kizamank hv kama ma Ashock Land
 
[emoji23][emoji23] em mimi nikapande mwendo kasi, kwa udhamini wa Strabag[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]................
 
jibu mwafaka...kila la heri though...mngekuwa wajanja mngetafta investment nyingine...nasema hivi kwasababu hamna market yake...rwanda na burundi tu...sasa hii reli yenu ni dnoto...

Kuna soko la ndani pia na Kongo Mashariki.
 
Ngoja reli yetu ya treni za umeme ikamilike uanze kusaga meno na siasa zako za maji taka.

Hahahaha.... Nashuku mtafungia generators kwenye mabehewa.... Danganyika ya Viwonder! Duuh
 
Back
Top Bottom