Reli mpya ya kisasa SGR yazinduliwa Kenya

Reli mpya ya kisasa SGR yazinduliwa Kenya

Upo mwezini wewe sio bure, kakojoe ukalale tu.
nawe pia...maskini wa LDC
emoji23.png
emoji23.png
 
Achana naye bwege huyo.
kwakweli.
kama wao wana tren mbona na sisi tu mwendokasi....
Nashangaa amepanic....
Binadamu bwana, halafu katika ujenzi Maghufuli wasimchezee kabisa[emoji23] yuko radhi tusile, ajenge flyover mpaka mwanza.
 
Hio treni nayo ni mpya kama hio reli au treni ni ile ile ya enzi za mkoloni?
 
Hongereni sana kwa kufanikisha pamoja na changamoto zote hatimaye imemalizika hope na sisi tutajenga yetu soon
 
Back
Top Bottom