REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hii ndio kazi ya Mchina aliyoifanya, achilia mbali kuwa ni reli iliyojengwa kwa gharama za kutisha kuzidi reli ya Ethiopia ya umeme lakini ubora wa reli hiyo ni wakusikitisha.
Ukiachilia mbali ubovu wa matuta na udhaifu wa technology duni uliotumika lakini pia pameonekana hitilafu za umadhubiti wa miundombinu hiyo mara baada ya uzio wa reli hiyo kuanguka baada ya siku chache tu.
Reli ya Kenya ambayo technology yake ndio iliyotumika kujenga reli ya TAZARA miaka ya 1960 imekua ikilalamikiwa na wananchi wa kenya hasa kwenye gharama na aina ya reli hiyo ambayo wanaona kama wametapeliwa.