Reli ya Kenya yaanza kupumulia mashine

Reli ya Kenya yaanza kupumulia mashine

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
yzihcn9hkngfwlwjidg5831f20f05d4a.jpg

Hii ndio kazi ya Mchina aliyoifanya, achilia mbali kuwa ni reli iliyojengwa kwa gharama za kutisha kuzidi reli ya Ethiopia ya umeme lakini ubora wa reli hiyo ni wakusikitisha.

fmzfazunq8evop592be3a4c1f81.jpg

Ukiachilia mbali ubovu wa matuta na udhaifu wa technology duni uliotumika lakini pia pameonekana hitilafu za umadhubiti wa miundombinu hiyo mara baada ya uzio wa reli hiyo kuanguka baada ya siku chache tu.
IMG_20171006_064718.JPG

Reli ya Kenya ambayo technology yake ndio iliyotumika kujenga reli ya TAZARA miaka ya 1960 imekua ikilalamikiwa na wananchi wa kenya hasa kwenye gharama na aina ya reli hiyo ambayo wanaona kama wametapeliwa.
 
Nimechungulia kwa vile macho hayana pazia nilikuwa napita tu.
 
Loh! Ngoja niagize popcorn before watu kutoka nchi ya middle income hawajamwaga povu!
 
Wacha waoigwe wanatudharau sana na baiskeli yetu ya mbao
 
yzihcn9hkngfwlwjidg5831f20f05d4a.jpg

Hii ndio kazi ya Mchina aliyoifanya, achilia mbali kuwa ni reli iliyojengwa kwa gharama za kutisha kuzidi reli ya Ethiopia ya umeme lakini ubora wa reli hiyo ni wakusikitisha.

fmzfazunq8evop592be3a4c1f81.jpg

Ukiachilia mbali ubovu wa matuta na udhaifu wa technology duni uliotumika lakini pia pameonekana hitilafu za umadhubiti wa miundombinu hiyo mara baada ya uzio wa reli hiyo kuanguka baada ya siku chache tu.

Reli ya Kenya ambayo technology yake ndio iliyotumika kujenga reli ya TAZARA miaka ya 1960 imekua ikilalamikiwa na wananchi wa kenya hasa kwenye gharama na aina ya reli hiyo ambayo wanaona kama wametapeliwa.
Hii ndo inaitwa propaganda sasa. Umeshindwa Kule na kadaraja kako kamoja sasa umeona uanzishe propaganda.

Picha ya kwanza reli bado ilikua inajengwa kukawa na mvua na mafuriko, mkondo wa maji ukapitia hapo ...

Picha ya pili, jamaa pale mariakani walienda ma mashine zao wakajaribu kung'oa fence ili wauze screpu wakaacha ikiwa hivyo
 
yzihcn9hkngfwlwjidg5831f20f05d4a.jpg

Hii ndio kazi ya Mchina aliyoifanya, achilia mbali kuwa ni reli iliyojengwa kwa gharama za kutisha kuzidi reli ya Ethiopia ya umeme lakini ubora wa reli hiyo ni wakusikitisha.

fmzfazunq8evop592be3a4c1f81.jpg

Ukiachilia mbali ubovu wa matuta na udhaifu wa technology duni uliotumika lakini pia pameonekana hitilafu za umadhubiti wa miundombinu hiyo mara baada ya uzio wa reli hiyo kuanguka baada ya siku chache tu.

Reli ya Kenya ambayo technology yake ndio iliyotumika kujenga reli ya TAZARA miaka ya 1960 imekua ikilalamikiwa na wananchi wa kenya hasa kwenye gharama na aina ya reli hiyo ambayo wanaona kama wametapeliwa.
Hizi zilifanyika kitambo ndo unaziona sasa hivi?
 
Duuuu utapeli na rushwa vikiingia kwenye mradi, haviwaachi watu salama.
 
yzihcn9hkngfwlwjidg5831f20f05d4a.jpg

Hii ndio kazi ya Mchina aliyoifanya, achilia mbali kuwa ni reli iliyojengwa kwa gharama za kutisha kuzidi reli ya Ethiopia ya umeme lakini ubora wa reli hiyo ni wakusikitisha.

fmzfazunq8evop592be3a4c1f81.jpg

Ukiachilia mbali ubovu wa matuta na udhaifu wa technology duni uliotumika lakini pia pameonekana hitilafu za umadhubiti wa miundombinu hiyo mara baada ya uzio wa reli hiyo kuanguka baada ya siku chache tu.

Reli ya Kenya ambayo technology yake ndio iliyotumika kujenga reli ya TAZARA miaka ya 1960 imekua ikilalamikiwa na wananchi wa kenya hasa kwenye gharama na aina ya reli hiyo ambayo wanaona kama wametapeliwa.
kenyatta oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mmmh...mbona hizo changamoto za kawaida kwenye ujenzi wowote

hii siyo sawa na ujenzi mwingine. hapo unapoona hilo tuta lazima lifumuliwe lote halafu ndo lijazwe tena. kwa hiyo siyo kazi ndogo.
but think the contractors will take care as after service rendered service.
 
Back
Top Bottom