Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The TAZARA Railway, also called the Uhuru Railway or the Tanzam Railway, is a railroad in East Africa linking the port of Dar es Salaam in Tanzania with the town of Kapiri Mposhi in Zambia's Central Province. The single-track railway is 1,860 km (1,160 mi) long and is operated by the Tanzania-Zambia Railway Authority(TAZARA).![]()
Hii ndio kazi ya Mchina aliyoifanya, achilia mbali kuwa ni reli iliyojengwa kwa gharama za kutisha kuzidi reli ya Ethiopia ya umeme lakini ubora wa reli hiyo ni wakusikitisha.
![]()
Ukiachilia mbali ubovu wa matuta na udhaifu wa technology duni uliotumika lakini pia pameonekana hitilafu za umadhubiti wa miundombinu hiyo mara baada ya uzio wa reli hiyo kuanguka baada ya siku chache tu.View attachment 603024
Reli ya Kenya ambayo technology yake ndio iliyotumika kujenga reli ya TAZARA miaka ya 1960 imekua ikilalamikiwa na wananchi wa kenya hasa kwenye gharama na aina ya reli hiyo ambayo wanaona kama wametapeliwa.
TAZARA signs investment cooperation agreement with Bombardier
The Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) has signed a Memorandum of Understanding (MoU) with Bombardier Transportation, the rail equipment division of the Canadian firm Bombardier Inc., to explore possibilities of investment cooperation.
Bombardier backs TAZARA
As one of the strategies for repositioning ourselves towards boosting our haulage capacity, on 6th September 2017 in Dar es Salaam, we signed a Memorandum of Understanding (MoU) with Bombardier Transportation to explore possibilities for investment cooperation.
With access to possible international funding options to support the revitalization of TAZARA, Bombardier Transportation has offered a preliminary turnkey solution for TAZARA to increase efficiency and capacity in the areas of track, rolling stock, signalling and telecommunications.
Following the signing of the MoU, we shall now create a joint team to undertake a feasibility study that will define and agree on the scope of the partnership, after which Bombardier Transportation will submit a full technical and financial proposal for our consideration.
reli haiwezi ikaendeshwa kama kuna significant infrastructural damage.... zote mbili zilisharekebishwa kitambo sana, kungekua bado kuko hivyo ungeona picha kila siku, ingeona ikitumika kama propaganda kila siku na wale wanaopinga mradi huututumie picha za sasa ivi za sehemu izo ..
please tupe current photo ili tuamini
Mchina anajenga kulingana na hela uliyompa. Ukimpa hela mbuzi utapata hivyo hivyo.Mchina sio mtu mzr kabisa
Sema viongozi wa Kenya,not EACSio mazuri, bila shaka ni kutokana na uajibikaji mbovu wa viongozi wetu , Africa. East Africans tusikubali
Ya kwetu ipo tangu 1970. TAZARAMbona kawaida sana hilo tatizo? Nyie ya kwenu iko wapi?
Hongera mkuu kwa kupata mtoto wa Ki- TZ. Maana mademu wa Kenya wana sura ngumu na kipara utosini/ nywele zinaanzia katikati ya kichwa.Mkenya mm nimechill hapa na totoz wa kishua lazma na mm nipumulie machine....waswahili mpo?[emoji3] [emoji125] View attachment 602524