Reli ya Kisasa Arusha-Moshi kupitia Kilimanjaro International Airport ni Turufu

Reli ya Kisasa Arusha-Moshi kupitia Kilimanjaro International Airport ni Turufu

Reli inapita KIA? Basi Yale maneno kwamba tanzanite ipo KIA ni kweli. Wameona wapitishe reli hapo ili waichimbe.
Nasema watachimba hawatapata kitu. Hayo madini yahame hapo
 
Ni idea nzuri, ila nasikitika kusema hakuna the so called kiongozi aliyepo serikalini kwa sasa mwenye uwezo wa kuitekeleza. Itabaki kwenye makaratasi for eternity as long as the current incapable individuals are in power.
 
Arusha na Moshi kote hakuna bus stand ya maana
Nimewasikia Tarura na latra wanawaagiza eti wote warudi stand wanasababisha foleni.

Tuna viongozi kwenye taasisi hawana uwezo wa kufikiri sawa sawa.

Hata hiyo stand wanayojenga dunia ya sasa ni upotevu wa rasilimali tu.

Convenience kwa abiria ndo kila kitu. Leo upeleke stand bonden city, porini kule afu uanze kulazimisha abiria kushukia huko.

Stand ya magufuli ilikuwa ni somo zuri sana. Walikuwa wanajifunza na kufanya maamuzi.
 
Chuga labda kilimo cha bangi
Kiongozi mbona ukiwa unasafiri pembezoni mwa barabara hii unaona utajiri wake kuanzia kilimo, viwanda, utalii pamoja na biashara, mwingiliano wa shughuli za kibinadamu kati ya maeneo haya mawili ni mkubwa sana, sema wenye coaster wajiandae😀
 
Sijui kama tunaweza kukamilisha kabla ya AFCON 2027 ingekuwa la maana sana, wadau wanaona kama natania 😃
 
Back
Top Bottom