Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,428
- 3,937
Nikiangalia ujezi wa reli ya SGR naona una track moja tu inayotoka Dar es Salaam mpaka Dodoma na ujenzi wa kwenda maeneo mengine kama Mwanza na Kigoma ukiendelea. Kuna matarajio makubwa sana kwenye reli katika usafirishaji wa abiria na mizigo.
Swali langu la msingi ni hili. Kama track ya reli iliyojengwa ni moja kwa maana treni haziwezi kupishana, je ratiba yake itakuwaje pale shughuli zake zitakapochangamka?
Kama design ya ujenzi uliofanyika ni kwamba treni itabidi zisubiriane kwenye intersections, je hilo halitakuja kuleta jams na delays kwa hiyo faida nzima ya kuwa na treni ya mwendo kasi itapotea?
Naomba ufafanuzi wa kitaalamu.