Reli ya SGR ya Tanzania ndiyo ya kisasa zaidi Afrika nzima

MY TAKE; Hivi zile za Kenya zinatumia mfumo upi?, Kuna siku ziliwahi kugonga Ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata iwe ya kisasa dunia nzima huku wananchi wake walio wengi hawata kuwa na uwezo wa kuitumia ina maana gani?!!kwa nauli hizi za DAR-MOROGORO tsh.24,000 wakati bus ni 10,000? na kwenda dodoma 59,000!!!wanasiasa bnana eti mtu atakuwa na uwezo wa kuishi MWANZA na kufanya kazi dar!!dodoma tu 59,000 ?mwanza si itakuta 150,000?"MASIKINI HUWA HANA HARAKA"
 
Tuliza mshono Wacha kulialia, nauli Dar - Moro haitozidi 15,000. Fuatilia vizuri mchakato wa kupanga nauli, kupenda kulalamika na kulialia ni sifa ya madem, usipende Sana kulalamika na kuwa "Negative" always.
 
Asavali upande mwewe tu.
 
Tuliza mshono Wacha kulialia, nauli Dar - Moro haitozidi 15,000. Fuatilia vizuri mchakato wa kupanga nauli, kupenda kulalamika na kulialia ni sifa ya madem, usipende Sana kulalamika na kuwa "Negative" always.
povu la nini?!!hivi hadi leo hii unafahamu baada ya ule mkutano wa wadau walipokataa hiyo nauli iliyopendekezwa ya 24,000 nini kinaendelea baina ya TRC Na LATRA?!!usilolijua litakusumbua.Hiyo 15000 utaisubiri sana!!mambo ya UJAMAA dunia nzima yamesha fail!!mkitaka vitu vizuri lazima vina gharama!! ila kupanga ni kuchagua nauli inaweza kuwa hata buku 5 kinachopungua serikali inapunguza kwenye madawa ina toa ruzuku.
 
Kwa nauli hizo hata serikali ikikubali lazima kuna mahali utailipia tu,gharama za uendeshaji reli kama ile sio ya kitoto,vinginevyo ukiendekeza vilio vya wananchi itakufa siku si nyingi...
 
Kwa nauli hizo hata serikali ikikubali lazima kuna mahali utailipia tu,gharama za ueneshaji reli kama ile sio ya kitoto,vinginevyo ukiendekeza vilio vya wananchi itakufa siku si nyingi...

..mtu anayefanya kazi ya kuponda kokoto anaweza kwenda kibaruani kwa kutumia landcruiser V-8?

..watengeneze utaratibu unaoulingana na uhalisia wa maisha na vipato vya Watanzania.
 
povu la nini?!!hivi hadi leo hii unafahamu baada ya ule mkutano wa wadau walipokataa hiyo nauli iliyopendekezwa ya 24,000 nini kinaendelea baina ya TRC Na LATRA?!!usilolijua litakusumbua.Hiyo 15000 utaisubiri sana!!mambo ya UJAMAA dunia nzima yamesha fail!!mkitaka vitu vizuri lazima vina gharama!! ila kupanga ni kuchagua nauli inaweza kuwa hata buku 5 kinachopungua serikali inapunguza kwenye madawa ina toa ruzuku.
Nimekuambia tuliza mshono, Wacha kupiga kelele. Wewe hujui lolote kuhusu nauli zinavyopangwa.
1)Mtoa huduma anapeleka pendekezo la nauli
2)Serikali inakusanya maoni ya wananchi juu ya pendekezo Hilo
3)Serikali inakaa na kupitia mapendekezo na maoni kutoka pande zote
4) Serikali inatoa uamuzi na kutangaza nauli halisi.

Tuliza mshono, Wacha kupiga kelele Kama demu, wapi serikali ilikataa pendekezo la TRC?, Mchakato unaendelea, muda sio mrefu kutoka Sasa nauli rasmi itatangazwa, ninakuhakikisha Dar - Moro haitozidi 15,000.
 
Tuliza mshono Wacha kulialia, nauli Dar - Moro haitozidi 15,000. Fuatilia vizuri mchakato wa kupanga nauli, kupenda kulalamika na kulialia ni sifa ya madem, usipende Sana kulalamika na kuwa "Negative" always.
Hata mwendokasi zilianza kishkaji taratibu inapanda, tuliza mshono, haitatumia hewa, itatumia diesel na umeme
 
MY TAKE; Hivi zile za Kenya zinatumia mfumo upi?, Kuna siku ziliwahi kugonga Ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunapongeza maamuzi ya kujenga hii reli, ni pesa nyingi zimetumika kujenga. Naamini wazo lilikuwa kuijenga ili mizigo mingi isafirishwe kwa reli, kwani itasafirishwa kwa wingi, bei nafuu na kwa haraka. Hii pia itasaidia kulinda barabara barabara zetu. Swali ni je, Serikali ya sasa ipo tayari kuleta mabehewa yanayoendana na hiyo reli, kuweka utaratibu wa mizigo yote mikubwa kusafirishwa kwa njia ya reli huku ukizingatia mabasi na malori mengi yanamilikiwa na vigogo wa CCM?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
..mtu anayefanya kazi ya kuponda kokoto anaweza kwenda kibaruani kwa kutumia landcruiser V-8?

..watengeneze utaratibu unaoulingana na uhalisia wa maisha na vipato vya Watanzania.
Sawa,si unaona Reli hii ya kawaida jinsi inavyosuasua,ni kwa sababu inaendeshwa kwa mwendo huo unaoutaka,lakini kiuhalisia gharama za uendeshaji huwa ni kubwa sana,na ukitaka kila mmoja aweze kuipanda hiyo Treni haitafika mbali itakufa...
 
Train ya zamani bado itaendelea kutoa huduma, na hivi karibuni imeboreshwa na yamenunuliwa behewa mpya kabisa, sio lazima Kila mtu apande SGR, jipime uwezo wako, bado buses pia zitaendelea kutoa huduma
 
Sawa,si unaona Reli hii ya kawaida jinsi inavyosuasua,ni kwa sababu inaendeshwa kwa mwendo huo unaoutaka,lakini kiuhalisia gharama za uendeshaji huwa ni kubwa sana,na ukitaka kila mmoja aweze kuipanda hiyo Treni haitafika mbali itakufa...

..nilimsikia waziri simbachawene akisema mtu mwenye mchicha anaweza kutoka Dodoma akaja kuuza Dsm halafu akarudi Dodoma jioni.

..Nikajiuliza huo mchicha utauzwa bei gani? Na mabehewa yatadumu? Na reli itaendeshwa kibiashara?
 
Tuliza mshono Wacha kulialia, nauli Dar - Moro haitozidi 15,000. Fuatilia vizuri mchakato wa kupanga nauli, kupenda kulalamika na kulialia ni sifa ya madem, usipende Sana kulalamika na kuwa "Negative" always.

Kwanza hivyo viwango vya nauli ametoa wapi?
 
TRC walipendekeza hizo naulinkwa LATRA, Kama ambavyo UDART walivyopendekeza nauli iongezwe Hadi 1200 kutoka 650, lakini serikali iliongeza Tshs 100 tu, hivi Sasa nauli ni 750.

Kuna watu wameumbwa kulalamika, kujaribu kuonyesha Kila kitu hakiendi sawa, kwamba siku zote wao ni wanyonge wanahitaji kufikiriwa na kuonewa huruma, hiyo ni tabia ya kikekike.
 
TRC walipendekeza hizo naulinkwa LTRA, Kama ambavyo UDART walivyooendekeza nauli iongezwe Hadi 1200 kutoka 650, lakini serikali iliongeza Tshs 100 tu, hivi Sasa nauli ni 750.

Kuna watu wameumbwa kulalamika, kujaribu kuonyesha Kila kitu hakiendi sawa, kwamba siku zote wao ni wanyonge wanahitaji kufikiriwa na kuonewa huruma, hiyo ni tabia ya kikekike.

Sa mtu mzima kama huyo anashindwaje kutofautisha pendekezo na nauli halisi!
 
Back
Top Bottom