Reli ya SGR ya Tanzania ndiyo ya kisasa zaidi Afrika nzima

Katika hiyo ya morogoro - Dodoma - Mwanza wasisahau mabehewa ya kajamba nani, daraja III ++, Na nauli yake mpaka Mwanza isizidi 70000 /-
 
povu la nini?!!hivi hadi leo hii unafahamu baada ya ule mkutano wa wadau walipokataa hiyo nauli iliyopendekezwa ya 24,000 nini kinaendelea baina ya TRC Na LATRA?!!usilolijua litakusumbua.Hiyo 15000 utaisubiri sana!!mambo ya UJAMAA dunia nzima yamesha fail!!mkitaka vitu vizuri lazima vina gharama!! ila kupanga ni kuchagua nauli inaweza kuwa hata buku 5 kinachopungua serikali inapunguza kwenye madawa ina toa ruzuku.
tembea kwa miguu! ati Tshs 24,000? SGR itajiendesha vp?
 
Reli imeugawa mji pande mbili wamewanyima wakaazi haki ya kukutana kwa kuwatenganisha na uzio wa waya pasipo ulazima wakati mbadala upo. Wa huku ni wa huku na wa kule ni wa kule. Bila kujali wanategemea huduma za Jamii KWA kuingilia mfano shule, masoko , nyumba za Ibada. Ndo shida ya madesigner kutowshirikisha wakaazi wa eneo husika.
Chek pale Mbezi pana ulazima gani wa kujenga daraja badala ya kujenga daraja la chini wazee, wagonjwa hawawezi panda juu kule
 
hao wagonjwa wameshindwa hata kuvuka kupitia ramp iliyopo? kama hivyo hata tunnel wangeshindwa kutumia, hao ni wa escalator na elevator! Huna hoja!
 
Tunnel Ina kuwa na step na pia inakuwa na slide watashindwaje kuvuka SAsa underpass
 
kwani daraja halina "slide"? yaani ramps without steps? Au lugha tatizo? kwa hiyo unamaana kwenye tunnel unashuka tuu na hupandi? Wacheni malalamiko yasiyo na hoja!
Tunnel haina steep slope kama overpass.Hadi ufike juu then upate level shughuli.
Underpass unateleza tu simple slope
 
wacha uvivu kijana hata tunnel pia mtalalamika haswa mkianza kukutana na ngeta!
Ngeta itoke wapi wakati inakuwa openly na mwanga wa kutosha plus machinga wamepanga safu zao.
Ubunifu unaweka open space ya machinga kama hofu ni wazee wa ngeta
 
Reli imeugawa mji pande mbili wamewanyima wakaazi haki ya kukutana kwa kuwatenganisha na uzio wa waya pasipo ulazima wakati mbadala upo. Wa huku ni wa huku na wa kule ni wa kule. Bila kujali wanategemea huduma za Jamii KWA kuingilia mfano shule, masoko , nyumba za Ibada. Ndo shida ya madesigner kutowshirikisha wakaazi wa eneo husika.
Chek pale Mbezi pana ulazima gani wa kujenga daraja badala ya kujenga daraja la chini wazee, wagonjwa hawawezi panda juu kule
Hivi wale ambao hawana miguu kabisa wamefikiriwaje?, Mimi ninapendekeza serikali iweke watu maalumu wa kuwabeba watu ambao hawawezi kutembea kwa sababu mbalimbali, wao pia ni watanzania wanalipa Kodi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee! !
 
Ile mchongoko vipi bado iko sandukuni
 
Back
Top Bottom