joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ipo wapi iyo...MY TAKE; Hivi zile za Kenya zinatumia mfumo upi?, Kuna siku ziliwahi kugonga Ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata iwe ya kisasa dunia nzima huku wananchi wake walio wengi hawata kuwa na uwezo wa kuitumia ina maana gani?!!kwa nauli hizi za DAR-MOROGORO tsh.24,000 wakati bus ni 10,000? na kwenda dodoma 59,000!!!wanasiasa bnana eti mtu atakuwa na uwezo wa kuishi MWANZA na kufanya kazi dar!!dodoma tu 59,000 ?mwanza si itakuta 150,000?"MASIKINI HUWA HANA HARAKA"MY TAKE; Hivi zile za Kenya zinatumia mfumo upi?, Kuna siku ziliwahi kugonga Ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliza mshono Wacha kulialia, nauli Dar - Moro haitozidi 15,000. Fuatilia vizuri mchakato wa kupanga nauli, kupenda kulalamika na kulialia ni sifa ya madem, usipende Sana kulalamika na kuwa "Negative" always.Hata iwe ya kisasa dunia nzima huku wananchi wake walio wengi hawata kuwa na uwezo wa kuitumia ina maana gani?!!kwa nauli hizi za DAR-MOROGORO tsh.24,000 wakati bus ni 10,000? na kwenda dodoma 59,000!!!wanasiasa bnana eti mtu atakuwa na uwezo wa kuishi MWANZA na kufanya kazi dar!!dodoma tu 59,000 ?mwanza si itakuta 150,000?"MASIKINI HUWA HANA HARAKA"
Asavali upande mwewe tu.Hata iwe ya kisasa dunia nzima huku wananchi wake walio wengi hawata kuwa na uwezo wa kuitumia ina maana gani?!!kwa nauli hizi za DAR-MOROGORO tsh.24,000 wakati bus ni 10,000? na kwenda dodoma 59,000!!!wanasiasa bnana eti mtu atakuwa na uwezo wa kuishi MWANZA na kufanya kazi dar!!dodoma tu 59,000 ?mwanza si itakuta 150,000?"MASIKINI HUWA HANA HARAKA"
povu la nini?!!hivi hadi leo hii unafahamu baada ya ule mkutano wa wadau walipokataa hiyo nauli iliyopendekezwa ya 24,000 nini kinaendelea baina ya TRC Na LATRA?!!usilolijua litakusumbua.Hiyo 15000 utaisubiri sana!!mambo ya UJAMAA dunia nzima yamesha fail!!mkitaka vitu vizuri lazima vina gharama!! ila kupanga ni kuchagua nauli inaweza kuwa hata buku 5 kinachopungua serikali inapunguza kwenye madawa ina toa ruzuku.Tuliza mshono Wacha kulialia, nauli Dar - Moro haitozidi 15,000. Fuatilia vizuri mchakato wa kupanga nauli, kupenda kulalamika na kulialia ni sifa ya madem, usipende Sana kulalamika na kuwa "Negative" always.
kwani kipindi kile jiwe anaua fast jet si watu waliaminishwa kuwa air tanzania ndio inakuwa mkombozi wa bei nafuu!!!Nini kilitokea?Asavali upande mwewe tu.
Kwa nauli hizo hata serikali ikikubali lazima kuna mahali utailipia tu,gharama za ueneshaji reli kama ile sio ya kitoto,vinginevyo ukiendekeza vilio vya wananchi itakufa siku si nyingi...
Nimekuambia tuliza mshono, Wacha kupiga kelele. Wewe hujui lolote kuhusu nauli zinavyopangwa.povu la nini?!!hivi hadi leo hii unafahamu baada ya ule mkutano wa wadau walipokataa hiyo nauli iliyopendekezwa ya 24,000 nini kinaendelea baina ya TRC Na LATRA?!!usilolijua litakusumbua.Hiyo 15000 utaisubiri sana!!mambo ya UJAMAA dunia nzima yamesha fail!!mkitaka vitu vizuri lazima vina gharama!! ila kupanga ni kuchagua nauli inaweza kuwa hata buku 5 kinachopungua serikali inapunguza kwenye madawa ina toa ruzuku.
Hata mwendokasi zilianza kishkaji taratibu inapanda, tuliza mshono, haitatumia hewa, itatumia diesel na umemeTuliza mshono Wacha kulialia, nauli Dar - Moro haitozidi 15,000. Fuatilia vizuri mchakato wa kupanga nauli, kupenda kulalamika na kulialia ni sifa ya madem, usipende Sana kulalamika na kuwa "Negative" always.
Tunapongeza maamuzi ya kujenga hii reli, ni pesa nyingi zimetumika kujenga. Naamini wazo lilikuwa kuijenga ili mizigo mingi isafirishwe kwa reli, kwani itasafirishwa kwa wingi, bei nafuu na kwa haraka. Hii pia itasaidia kulinda barabara barabara zetu. Swali ni je, Serikali ya sasa ipo tayari kuleta mabehewa yanayoendana na hiyo reli, kuweka utaratibu wa mizigo yote mikubwa kusafirishwa kwa njia ya reli huku ukizingatia mabasi na malori mengi yanamilikiwa na vigogo wa CCM?MY TAKE; Hivi zile za Kenya zinatumia mfumo upi?, Kuna siku ziliwahi kugonga Ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa,si unaona Reli hii ya kawaida jinsi inavyosuasua,ni kwa sababu inaendeshwa kwa mwendo huo unaoutaka,lakini kiuhalisia gharama za uendeshaji huwa ni kubwa sana,na ukitaka kila mmoja aweze kuipanda hiyo Treni haitafika mbali itakufa.....mtu anayefanya kazi ya kuponda kokoto anaweza kwenda kibaruani kwa kutumia landcruiser V-8?
..watengeneze utaratibu unaoulingana na uhalisia wa maisha na vipato vya Watanzania.
Train ya zamani bado itaendelea kutoa huduma, na hivi karibuni imeboreshwa na yamenunuliwa behewa mpya kabisa, sio lazima Kila mtu apande SGR, jipime uwezo wako, bado buses pia zitaendelea kutoa huduma..mtu anayefanya kazi ya kuponda kokoto anaweza kwenda kibaruani kwa kutumia landcruiser V-8?
..watengeneze utaratibu unaoulingana na uhalisia wa maisha na vipato vya Watanzania.
Sawa,si unaona Reli hii ya kawaida jinsi inavyosuasua,ni kwa sababu inaendeshwa kwa mwendo huo unaoutaka,lakini kiuhalisia gharama za uendeshaji huwa ni kubwa sana,na ukitaka kila mmoja aweze kuipanda hiyo Treni haitafika mbali itakufa...
Tuliza mshono Wacha kulialia, nauli Dar - Moro haitozidi 15,000. Fuatilia vizuri mchakato wa kupanga nauli, kupenda kulalamika na kulialia ni sifa ya madem, usipende Sana kulalamika na kuwa "Negative" always.
TRC walipendekeza hizo naulinkwa LATRA, Kama ambavyo UDART walivyopendekeza nauli iongezwe Hadi 1200 kutoka 650, lakini serikali iliongeza Tshs 100 tu, hivi Sasa nauli ni 750.Kwanza hivyo viwango vya nauli ametoa wapi?
TRC walipendekeza hizo naulinkwa LTRA, Kama ambavyo UDART walivyooendekeza nauli iongezwe Hadi 1200 kutoka 650, lakini serikali iliongeza Tshs 100 tu, hivi Sasa nauli ni 750.
Kuna watu wameumbwa kulalamika, kujaribu kuonyesha Kila kitu hakiendi sawa, kwamba siku zote wao ni wanyonge wanahitaji kufikiriwa na kuonewa huruma, hiyo ni tabia ya kikekike.
Kuna watu wameamua kwa hiari Yao kuwa wajinga Dunia hii, hao elimu haiwasaidii lolote.Sa mtu mzima kama huyo anashindwaje kutofautisha pendekezo na nauli halisi!