Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Kutoa Povu ni kawaida yenu waparokia!
Unaposema kitu always fuatisha na andiko!
Ubishi wako utakuingiza katika adhabu mbaya sana km hutotaka kuuona ukweli!!

Nioneshe andiko kwenye Quran linalomzungumzia Yesu,usiniletee la Isa,Isa sio Yesu
Yesu kwa kiarabu ni Yeshu sio Isa!
 
Hapa tunaona mungu wako ana njaa!

Jesus Curses the Fig Tree

Jesus was hungry and when he found that the Fig Tree bore no fruit (it was not the season) he cursed it. Later on the disciples noted that the tree had withered. (paraphrased) Mark 11:12-14.-

Na hapa kumbe mungu ana watoto kedekede na wala sio yesu tu!!

Nephilim: The Sons of God

When men began to increase in number on the earth and daughters were born to them, the sons of God saw that the daughters of men were beautiful, and they married any of them they chose. Genesis 6:1

Sasa we endelea kudanganya watu!
Huo uongo utakutokea puani!!

Hii inahusiana nini na nilichokisema?
 
Nioneshe andiko kwenye Quran linalomzungumzia Yesu,usiniletee la Isa,Isa sio Yesu
Yesu kwa kiarabu ni Yeshu sio Isa!

Quraan verse-4:156-159
-"That they rejected Faith; That they uttered against Mary A grave false charge; -That they said (in boast): -'We killed Christ Jesus The son of Mary, The Messenger of Allah.' -But they killed him not, Nor crucified him, but so it was made to appear to them, and those who differ therein are full of doubts, with no (certain) knowledge, but only conjunction to follow, for of a surety they killed him not. -Nay, Allah raised him up Unto Himself;-and Allah Is Exalted in Power, Wise.
-And there is none of the people of the book (Jews and Christians)-But must believe in him -(Jesus) Before his death;-And on the Day of Judgment-He (Jesus) will be a witness Against them."--

Enyi wakiristo na waparokia!
Mungu atawaadhibu kwa kumsingizia uongo!!
Wacheni uongo!
 
Watu waliotafsiri Quran ni waongo kama wewe
Isa ni jina la kiarabu ambalo halina tafsiri kama lilivyo jina Allah,kudai Isa ni Yesu ni uongo
Hebu niambie Isa kwa kiswahili ni nini kama utaweza!
Hebu niambie Isa kwa Kigiriki ni nini!

Lakini Yesu inajulukana kwa lugha zote hizo

Hebu nipe huohuo mstari hapo kwa kiswahili kama utakuwa umeandikwa Yesu,labda uubadilishe wewe

Uislam unaenezwa kwa njia 2
Moja:Ugaidi
Mbili:Uongo

Wewe upo kwenye kitengo cha uongo!!!!!!!!
 
Sawa wewe ni mkweli! Na wewe ni muungwana!
Na hao waliotafsiri quraan wamesema uongo kwa sababu wanalipwa sio? Na kuna msomi kama Eiyer yeye anajua kuliko waislamu wooote!
Wewe huwezi kukubali haki hatta siku moja!
Mungu ameshasema ktk quraan!

"Hawatakuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila zao" quraan (2:120).

Na sisi kufuata mila za kunywa damu na kitimoto na kuabudu masanamu ya mzungu hatuwezi.!

Amesema kweli Mwenyezi Mungu Mkarimu.
 
Last edited by a moderator:
Huko kutokuwa na dini,ndio dini yenyewe,dini maana ni mfumo wa maisha,sasa iweje mtu aseme hana dini.Hao wanaosema hawana dini,hawajuwa nini maana ya dini.Dini,maana yake ni mfumo wa maisha unaojichagulia,huko kusema huna dini ndio dini yenyewe.

Mmmmhhh !!! Hi kali!!! Sikubaliani hata kidogo
 
Sawa wewe ni mkweli! Na wewe ni muungwana!
Na hao waliotafsiri quraan wamesema uongo kwa sababu wanalipwa sio? Na kuna msomi kama Eiyer yeye anajua kuliko waislamu wooote!
Wewe huwezi kukubali haki hatta siku moja!
Mungu ameshasema ktk quraan!

"Hawatakuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila zao" quraan (2:120).

Na sisi kufuata mila za kunywa damu na kitimoto na kuabudu masanamu ya mzungu hatuwezi.!

Amesema kweli Mwenyezi Mungu Mkarimu.

U napo-quote Quran ili nione jambo naona kama unaiambia nimfuate shetani jambo ambalo sitakuelewa kabisa!

Ushahidi wako uko wapi tofauti na kunionesha mistari kutoka kwenye kitabu chenye ayat ya ajabu ajabu?
 
Hii inahusiana nini na nilichokisema?

Amesema Mwenyezi Mungu:

وَلَوْ أَنَّهُمْ أَقَامُوا التَّوْرَاةَ وَالْإِنجِيلَ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْهِم مِّن رَّبِّهِمْ لَأَكَلُوا مِن فَوْقِهِمْ وَمِن تَحْتِ أَرْجُلِهِم-ۚ مِّنْهُمْ أُمَّةٌ مُّقْتَصِدَةٌ-ۖ وَكَثِيرٌ مِّنْهُمْ سَاءَ مَا يَعْمَلُون----“
Na kama wangalisimamisha Taurati na Injili na yale yaliyoteremshwa kwao kutoka kwa Mola wao (Qur-aan), kwa yakini wangalikula vya juu yao na vya chini ya miguu yao. Lakini wako watu miongoni mwao washikao njia nzuri. Lakini wengi wao wanayoyafanya ni mabaya kabisa.”[Al-Maaidah 5: 66]

-Na mwenye kufuata miongozo isiyokuwa ya Mwenyezi Mungu Mtukufu na Mitume Wake (‘Alayhimus Salaam), basi huyo atakuwa amekhiari njia ya upotofu na ataharibikiwa hapa duniani kwa kutomfuata Muumba wa dunia na vilivyomo.

Mwenyezi Mungu Amewasifu wale wanaowacha miongozo yake kuwa na ni Makafiri, Mafaasiq, na Madhaalim. [Al-Maaidah 5: 44-47]

Rudini kwenye njia iliyo ya haki enyi wagalatia ili mpate kuokoka!

Na hakika adhabu ya mungu ni kali isio na mfano! Wala haina mwisho!
 
Amesema Mwenyezi Mungu:

وَلَوْ أَنَّهُمْ أَقَامُوا التَّوْرَاةَ وَالْإِنجِيلَ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْهِم مِّن رَّبِّهِمْ لَأَكَلُوا مِن فَوْقِهِمْ وَمِن تَحْتِ أَرْجُلِهِم-ۚ مِّنْهُمْ أُمَّةٌ مُّقْتَصِدَةٌ-ۖ وَكَثِيرٌ مِّنْهُمْ سَاءَ مَا يَعْمَلُون----"
Na kama wangalisimamisha Taurati na Injili na yale yaliyoteremshwa kwao kutoka kwa Mola wao (Qur-aan), kwa yakini wangalikula vya juu yao na vya chini ya miguu yao. Lakini wako watu miongoni mwao washikao njia nzuri. Lakini wengi wao wanayoyafanya ni mabaya kabisa."[Al-Maaidah 5: 66]

-Na mwenye kufuata miongozo isiyokuwa ya Mwenyezi Mungu Mtukufu na Mitume Wake (‘Alayhimus Salaam), basi huyo atakuwa amekhiari njia ya upotofu na ataharibikiwa hapa duniani kwa kutomfuata Muumba wa dunia na vilivyomo.

Mwenyezi Mungu Amewasifu wale wanaowacha miongozo yake kuwa na ni Makafiri, Mafaasiq, na Madhaalim. [Al-Maaidah 5: 44-47]

Rudini kwenye njia iliyo ya haki enyi wagalatia ili mpate kuokoka!

Na hakika adhabu ya mungu ni kali isio na mfano! Wala haina mwisho!

Naomba unijibu haya maswali:
Huyu mungu uliyem-quote anaitwa nani?
N hiyo injili anayoizungumzia ipo kwenye kitabu gani?
 
Ukitaka kuona tofauti ya waislamu na wagalatia :-
,hebu-tazama-Wakolosai--3:22-kama-una-Biblia-hapo-karibu--na-kama-hauna-kaazimekwa-jirani.-Kwa-hakika-ukitazama-utakuta-kuna-ibara-hii:

"-Enyi-Watumwa-,-watiini-Wakuu-wenu-wa-Kidunia-katika-mambo-yote."

Pia-tazama-Waefeso-6:5.

Utakuta-ibara-hii-isemayo:-Enyi-Watumwa,watiini-mabwana-zenu-hapa-duniani-kwa-hofu-natetemeko fanyeni-hivyo-kwa-unyoofu-wa-moyo-kana-kwamba-mnamtumikia-Kristo"

-

Ukiristo-unasema:

-"Watiini-wakuu-wa-kidunia-katika-mambo-yote"

Uislaam-unasema:

Enyi-Mlioamini-!-Mtiini-Mwenyeezi-Mungu--(s.w)-na-Mtiini-Mtume--(s.a.w.w)--na-Wenye Mamlaka-katika-nyinyi"

Sasa umeona tatizo??
Sisi tunaamrishwa tumtii MUNGU KWANZA, HALAFU MTUME! NA WA MWISHO NI SHERIA ZA NCHI N.K!

WAKIRISTO WANAAMBIWA NA PAULO KUWA WAWATII WAKUU WAO!! KAMA WANAVYOMTII YESU!!

SASA HATA KAMA MKUU WAKO NI MCHAFU VIPI! KAMA WEWE NI MKIRISTO LZM UMTII!!

HILI NI BALAA KUBWA NDUGU ZANGU!

AMKENI! MAUTI HAYAKO MBALI!,
Huu ubishi haukupi faida yyt ktk hii dunia wala kesho akhera!!

Eeh MUNGU WANGU MKARIM. WAONGOZE HAWA WASIOJUA!
YAA RAB! YAA RAB!
 
Naomba unijibu haya maswali:
Huyu mungu uliyem-quote anaitwa nani?
N hiyo injili anayoizungumzia ipo kwenye kitabu gani?

Ndugu Eiyer mi na hakika kuwa wewe kujibu hizi hoja ni kutaka kuonyesha kuwa uko sawa! Na mimi/sisi waislamu tuko kwenye makosa!
Lkn nakuomba ujiulize peke yako! Wala huna haja ya kunijibu humu JF!

1.Je! Kama imani yako ni kweli! Mbona kuna mgongano mkubwa saaana ktk kitabu chako.??
2.mamia kwa maelfu ya watu tofauti wakiwemo wasomi wa hali ya juu kabisa. Ma celebrities, wachungaji, mapadri, waalimu na watu wa kawaida wanaacha maisha yao yenye mishahara minono! Na wengine wanatengana na familia zao lkn wanaamua na kuuwanauacha ukristo kila siku! Kila siku na kuingia kwenye uislamu!
3. Juu ya uislamu kutukanishwa na vyombo vya habari dunia kila siku. Na wewe pia kuwaita waongo na magaidi! Lkn hakupunguzi watu kuingia ktk hii dini kila siku! Yaani kweli unadhani takriban 2 billion people leo hii yaaani wote wanaabudu MUNGU MMOJA TU! ni bahati mbaya??

Hebu tafuta nafasi ya kufikiri kidogo!
Kabla hujavuta pumzi yako ya mwisho!! Tafadhali sana! Tena saana! Nakuomba ufikirie tu!
 
Haya ndio majibu ya maswali yangu niliyokuuliza?

Pia kuhusu watu kuingia uislam kwa wingi kama unavyodai,usidhani hili sisi hatulijui,tunalijua sana na tumeshatahadharishwa zamani kabla Mohammad hajazaliwa soma hii kwa faida yako:

1 Tim 4:1-5

1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;

2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
3 wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli.
4 Kwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri, wala hakuna cha kukataliwa, kama kikipokewa kwa shukrani;
5 kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba

Zingatia nilipo bold!
Toka huko kwa mashetani wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sasa hebu niambie, kama wewe kweli ni mfuasi wa yesu! Hebu angalia hapa chini UONE MWENYEWE JE! ALIVYO FANYA YESU NA WEWE NI SAWA!!?

Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema: Tazama! naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
Matendo 7.56

WEWE Eiyer HUYO ANAEITWA MWANA WA ADAMU KTK BIBLIA! WEWE UNAMUITA MUNGU!!SABABU?? UTAJUA MWENYEWE!!

Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake. Huko faraghani aliomba hivi:

Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke. Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.

Luka 22.42-43

HAPA YESU MWENYEWE ANAOMBA KWA MUNGU AMSAIDIE!! WEWE UNAMUITA HUYO MUOMBAJI NI MUNGU!! SABABU?? JIBU MWENYEWE!

TUNAONA KTK YOHANA 14,28 YESU ANASEMA: Baba ni mkuu kuliko mimi.

WEWE UNAMUITA YESU NI MKUU KULIKO WOTE!! SABABU?? UNAZIJUA MWENYEWE!!

HAPA TUNAONA KUWA WAKATI YUKO MSALABANI,
Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?

Mathayo 27.46

HAPA YESU ANAMUITA MUNGU NA KUMUULIZA "MBONA AMEMUACHA"

WEWE Eiyer UNAPAZA SAUTI UNAMUITA YESU NA KUMUOMBA MSAADA YEYE!! SABABU?? PAULO KAKWAMBIA!!

HAPA KTK KITABU CHA YOHANA TUNAJIFUNZA NAMNA YESU ALIVYOKUWA AKIWAMBIA WANAFUNZI WAKE HABARI ANAZO ZIHUBIRI!!

Kwa sababu mimi sikunena kwa nafsi yangu tu; bali Baba aliyenipeleka, yeye mwenyewe ameniagiza nitakayonena na nitakayosema. Nami najua ya kuwa agizo lake ni uzima wa milele; basi hayo ninenayo mimi, kama Baba alivyoniambia, ndivyo ninenavyo.

Yohana 12.49-50

Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka.

Yohana 5.30

JUU YA KUWA YESU MWENYEWE ANASEMA WAZI KABISA KUWA AMETUMWA!! WEWE NA HAO WAGALATIA BADO MNAMUITA YEYE NI MUNGU!! SASA WEE AKILI YAKO MUNGU ANAWEZA KUTUMWA NA KIUMBE MWENGINE??

HAPA MWISHO NTAKUONYESHA YESU ALIMSHUKURU NANI! NA ALIMSIFU NANI!

Basi Yesu, hali akiugua tena nafsini mwake, akafika kwenye kaburi. Nalo lilikuwa ni pango, na jiwe limewekwa juu yake. Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne. Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba nakushukuru kwa kuwa umenisikia. Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia siku zote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.

Yohana 11.38-42

WEWE Eiyer NA HAO WENZAKO WOTE UNAPOSHUKURU HUWA UNASEMA "ASANTE YESU"

SASA NAKUULIZA! JE! NYIE MNAOJIITA NI WAFUASI WA YESU! NANI KAWAPA RUHUSA YA KUFANYA IBADA ZENU KINYUME NA YESU??

KWANINI MNADANGANYA NAFSI ZETU WAZIWAZI NAMNA HII NA KUGEUZA GEUZA ANDIKO?? ILI MPATE NINI?? NYIE MPAKA MFE NDIO MTAJIFUNZA KUWA MUNGU NI MMOJA!!? NA YESU ALIMUOMBA HUYOHUYO??

Last edited by a moderator:
​There is NONE

Unafanya jitihada za kupoteza watu!
Ukihangaika kushoto na kulia! Mara kwenye utube mara kwenye radio! Mara JF! Raha huna!
Maskini hujitambui mwisho wako utakuwaje!
Mungu aliyekupa uhai wewe na Yesu! Unajitahidi kupigana nae vita! Kwa sababu ya vimshahara vya kanisa!!

Ewe kiumbe usiye na shukurani kwa muumba wako! Muogope huyo aliye kuumba! Na wacha kupoteza wasio na elimu, huenda mungu akakusamehe!

Na ukiendelea na vita yako juu ya muumba! Basi nahofia mwisho wako sidhani km utakuwa mwema!
Unachokifanya hakiwadhuru waislamu chochote!
Zaidi ni hao maskini qagalatia wasio na elimu!

Yalaiti yesu angelikuwa hapa leo!
Naamini kabisa kuwa Angekunyamazisha kwa mikono yake mwenyewe!
Nakuombea mungu akukumbushe kabla roho haijakutoka mparokia m.m. mwanakondoo!
 
Red: Zikowapi hizo ''collected proof of evolutions'' ? ina maana wewe kama ni mzazi nawe unawafundisha wanao kwamba binadam wametokana na evolution,kwamba hata wewe ni advanced SOKWE tu kutokana na evolutions ? Ndugu yangu mimi ni Theist, naamini katika evolution at micro level,na sio macro level kama waumini wa evolution wanavyotaka kutuaminisha, na amini evolutions katika species moja na si kwamba samaki anaweza kuwa tembo,au tutegemee baada ya miaka millioni moja kutokana na mabadiliko ya tabia nchi binadam wanaweza kubadilika na kuwa Twiga kwa kuwa joto litaongezeka na vyakula kuadimika kwani miti ya miiba itatawala ambayo hustahimili ukame,hivyo katika juhudi za binadam kuendana na ahali halisi shingo itarefuka na kuwa kama twiga tuwaonao leo au mfano wao,(ujinga huu mimi siwezi kumfundisha mwanangu,ama wanangu nawaambia ukweli, evolution hawaezi kuielewa kama inazungumziwa at macro level,wanatakiwa wakariri tu ili waweze kujibu maswali,SIO KWELI nao wanatakiwa kutafakari...
acha mzaha wewe, watafeli necta. chezea necta wewe ha ha ha ha
 
Ndugu Eiyer mi na hakika kuwa wewe kujibu hizi hoja ni kutaka kuonyesha kuwa uko sawa! Na mimi/sisi waislamu tuko kwenye makosa!
Lkn nakuomba ujiulize peke yako! Wala huna haja ya kunijibu humu JF!

1.Je! Kama imani yako ni kweli! Mbona kuna mgongano mkubwa saaana ktk kitabu chako.??
2.mamia kwa maelfu ya watu tofauti wakiwemo wasomi wa hali ya juu kabisa. Ma celebrities, wachungaji, mapadri, waalimu na watu wa kawaida wanaacha maisha yao yenye mishahara minono! Na wengine wanatengana na familia zao lkn wanaamua na kuuwanauacha ukristo kila siku! Kila siku na kuingia kwenye uislamu!
3. Juu ya uislamu kutukanishwa na vyombo vya habari dunia kila siku. Na wewe pia kuwaita waongo na magaidi! Lkn hakupunguzi watu kuingia ktk hii dini kila siku! Yaani kweli unadhani takriban 2 billion people leo hii yaaani wote wanaabudu MUNGU MMOJA TU! ni bahati mbaya??

Hebu tafuta nafasi ya kufikiri kidogo!
Kabla hujavuta pumzi yako ya mwisho!! Tafadhali sana! Tena saana! Nakuomba ufikirie tu!
shambani mwa bwana mavuno ni mengi wavunaji ni wachache sana. njia ya upotevuni ni pana na waingio ni wengi sana. imetabiriwa siku za mwisho watakuwepo wapinga kristo wengi, haishangazi kinachotokea. ukristo haujatabiriwa kuzishinda imani zote duniani, kwakuwa haipiganii dunia bali ufalme wa mungu. vita vyetu sio juu ya damu na nyama bali ni dhidi ya falme na mamlaka za shetani na pepo wachafu (majini, mapepo, maruhani, e.tc.) katika ulimwengu wa roho. mungu ni mwema. ndio maana inasisitiza kumpenda hata adui ili tuwe kama baba yetu aliyembinguni anayemwangazia kila mtu mbaya na mwema jua lake.
Yesu alishasema nira yangu ni laini na mzigo ni mwepesi.akasema bila mimi nyinyi hamwezi lolote. Yesu hasemi kuhubiri kwa mbinu, hila ama uwongo ili kupata wafuasi bali kuhubiri kwa kusimama katika kweli, kibidi hata mauti ikufikie kama iliyomfikia stefano kwa kupigwa mawe. Ndio maana alisema msimwogope yule auae mwili tu, bali yule anaeweza kuangamiza mwili na roho yako katika jehanam ya moto. Kwani uwongo ni dhambi kuu na mshahara wa dhambi ni mauti. Alisisitiza, msiape kwa mbingu wala kwa ardhi, bali kweli yenu na iwe kweli Zaidi ya hapo yanatoka kwa yule mwovu(shetani). Pia anatuasa sisi tuwe nuru ya kumulikia watu wengine, yaani tusiwe na hila bali tuwe mfano kwa matendo yetu na haki. Yesu kristo hakuunda dini bali ni watu waliamua kujiundia dini zao. . Dini hizi ndizo zinazotufunganisha na makundi yanayotofautiana interest na kutokuelewana. Yeye aliagiza watu kwenda ulimwenguni kote kuwahubiri mataifa na kuwafanya wanafunzi wake wakiwabatiza kwa jina la baba, mwana na roho mtakatifu. Wako wasioelewa lakini wapo wanaojua ukuu wa yesu na kazi zake lakini kwasababu mbalimbali za mamlaka walizonazo hapa duniani wanazipenda na kuona bora wampinge. Alishaonya, yule amkanaye mbele za watu na yeye atamkana mbele ya baba yake aliyembinguni, pia yule ampendaye baba yake, ama mama yake kuliko yeye(yesu) hamstahili. Anayetaka kumfuata yesu ajikane nafsi yake kwanza. yesu ameonya giza na nuru havichanganyiki, yaani mungu na shetani hawana shirika. Uwezi kumtumikia shetani na huku unamtumikia mungu. Baada ya yesu kufufuka alihitimisha mbio za shetani pale aliposema shetani ameshahukumiwa, hivyo basi shetani hana nafasi yoyote katika sehemu ya ule mti wa uzima bali wanadamu wamepewa tena bure wajongee kuufikia utimilifu. Na imeandikwa siku za mwisho watu watajitenga na ile kweli na kufuata roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani. Mchafu na azidi kuwa mchafu na mtakatifu na azidi kutakaswa naja upesi kumlipa kila mtu sawa sawa na matendo yake.
 
Umeandika maneni meeeengi!
Na kila mara unarudia kusema kuwa " ufalme wa baba" baba yetu" mungu baba"n.k
Wakati huohuo unamuita yesu "mungu"

2013! Jaribu kutoka nje ya box hata kwa siku moja! Halafu soma andiko lako. Uone mwenyewe litakavyo kuchanganya!

Yesu mmoja! Humo humo anaitwa mungu!
Na huyo yesu humohumo anaomba kwa mungu!
Mara yesu akiwafundisha wanafunzi wake kumuheshimu na kumuabudu mungu mkuu!
Mara yesu anaitwa mungu aliyekuwepo!

Kila mara vinakaliwa vikao na makanisa makuu na kuaibadili biblia na kuweka sheria mpya!
Hapa juzi tumeona kuwa papa mwenyewe amekubali kuwa hakuna kosa wanawake kuw makadinali! Wakati biblia inakataa katakata! Ndoa za kiliberali! Biblia inakataza. Viongozi wa makanisa wanaongelea suala la kuihalalisha na hivi tunavyoongea wameshaanza kuitumia biblia hio hio kuhalalisha wanamme kuoana!

Sasa wewe kariri tu hayo maandiko! Lkn ukweli unauona mwenyewe!
Dini na imani ya haki haina haja ya kuchakachuliwa hata siku moja!
Kama maandiko haya yametoka kwa mungu basi hayawezi kugongana, mengine yakataze na mengine yakubali!

Hutopata faida yyt kuufahamu ukweli baada ya kufa!
Ukweli uko waazi kabisa! Lkn kiburi na kutafuta maslahi ya huu ulimwengu vinawafanya wengi vipofu!
Mauti hayako bali ndugu! Amka sasa kabla muda haujaisha!
 
spacer.gif

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Taliban Ripped Hair from Writer Before Killing Her...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bangladesh Bloggers Prosecuted for 'Defaming Islam'...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Newspapers Sued for Running Story on Gays...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Berlin 'Doing Away' with Christmas...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cleric Incites Temple Mount Violence...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8-Year-Old Christian Boy Raped[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hindu Temples Vandalized...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Syrian Church Official to Obama: Stop Arming Islamic Terrorists[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tunisians Protest Islamist Govt. Following Assassinations....[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD](AUS) Father Tells Girl Not to Play with Non-Muslims...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Danish Firefighters Pelted with Rocks...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Children Among Christians Machine-Gunned in Nigeria...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6-Year-Old Killed During Muslim Brotherhood Assault on Police...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Religion of Peace Cleric Praises Boston Bombers...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Malay Official: Muslim Community Lags in Ethics and Integrity...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Maldives Police Thwart Magic Coconuts...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ft. Hood Killer Gets to Keep $300,000 Jail-Time Salary...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mosque-Goers Beat Thieves Senseless...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2000 Genital Mutilation Victims Seek Help at UK Hospitals...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iranian Official Threatens to Rape Obama's Daughter...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD](Syria) Car Bombs and Forced Conversions in Christian Town...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Muslim Cleric Abducts 11-Year-Old Girl...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Afghan Women Beg Doctors to Abort Female Pregnancies...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Egyptian Christians Flee as Islamists Take Over Town...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Video Shows Syrian Rebels Executing Soldiers...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Imam Rapes Girl Who Came for Quran Lessons...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Teen Tires of Sodomy, Stabs Cleric...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Christian Families Lose Homes over Marriage to Muslim...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Polio Widespread in Somalia under Islamist Control...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Female Writer Assassinated by the Taliban...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Oman Suspends Newspaper over Interview with Gay Man...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]al-Qaeda Vows to Slaughter Syrian Christians...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]McCain: Allah Akbar is A-OK[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Woman Converted to Islam Without Her Knowledge...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Swedish Town Reels from 'Allah is Gay' Scandal...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Muslim Students Survive Brush with Bacon...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Obama Congratulates Pro-Sharia Organization...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CAIR Praises Firing of Walmart Worker Despite Apology...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Assassination Attempt on Swedish Cartoonist...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]British Soldier Gets Sex Change, Embraces Islam, Finds Husband[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Polio Poised to Soar in Wake of Taliban's Targeted Attacks...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Syrian Rebels Shell Hospital 'with Allah's Permission'...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Canadian Cleric: Amputation Cheaper than Jail...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Six Shiite Children Slaughtered by Sunni Gunmen...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8-Year-Old Seminary Student Molested by Imam...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Gambian Women Flee Genital Mutilation...[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 5, bgcolor: #cece9c"]
spacer.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Islam's Latest Contributions to Peace"Mohammed is God's apostle. Those who follow him are harsh
to the unbelievers but merciful to one another"
Quran 48:29

2013.09.07 (Hamarweyne, Somalia) - Eighteen people are pulled into pieces by a suicide bomber outside a restaurant.
2013.09.06 (Gujrat, Pakistan) - Two children are among a family of seven Shiites exterminated in their home by Sipah-e-Sahaba gunmen.
2013.09.05 (Gajiram, Nigeria) - Sharia proponents torch a village and shoot fifteen locals to death.
2013.09.05 (Nasr City, Egypt) - A suicide bomber praises Allah and then kills two bystanders.
2013.09.04 (Maaloula, Syria) - At least eight defenders are killed when Islamists storm a Christian village and shell a church.
2013.09.04 (Ghazni, Afghanistan) - A man and his two sons are shot to death in their own home by Islamic hardliners.
 
[TABLE="width: 400"]
[TR]
[TD]
Articles & Commentary
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
LeftNavLine.gif
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Some Girls Have Been Married 60 Times (Washington Post)
"Sex tourism to Egypt tends to spike in the summer, when wealthy men from Gulf countries flood into Egypt and thousands of underage girls are sold by their parents into temporary 'marriages'."Islam Hasn't Changed - We Have (Molschky)
Islam is still a violent and oppressive religion that contributes little more than stress, strain and a trail of blood - even if we aren't allowed to say it.Assad's Dead Baby Strategy (Gatestone)
Yet another reason for Obama to stay away from Syria.What are We Muslims Doing to Ourselves? (Gatestone)
Although this Muslim writer seems a bit naive about the prominence of Sharia in Islam, her inside look at Hizb-ut-Tahrir is quite interesting.The Coming Flood of Refugees to Sweden (FrontPage)
Sweden is the new Syria - or about to be, anyway.Radical Islam is the Normative Islam (Jerusalem Post)
"At the very least, Islam has a potentially violent core that is deeply associated with the fundamental principles of its violent faith."Muhammad: the Warrior Prophet (Muslim Issue)
The prophet of Islam carefully crafted a militant religion that plagues the world today.No to War in Syria (FrontPage Magazine)
Robert Spencer says that it is not in America's interest to side with al-Qaeda.Community Organizer Goes to War (Town Hall)
Ann Coulter: "At this point, Assad is at least 49,000 dead bodies short of the good cause the Iraq War was."Hot Turkish Autumn (Gatestone)
"Prime Minister Erdogan has called on his supporters to inform on their neighbors who bang pots and pans in protest against his rule."What Can We Do about Islamization? (Molschky)
"It may be years away, but life will become more and more intolerable due to rising percentages of Muslim populations and the demands that they exponentially make on the host nation."UNRWA and Palestinian Hatred (American Thinker)
"Why do we continue to allow this administration to fund the UNWRA and the indoctrination of children to hate Israel and the United States?"al-Jaeera America is the Muslim Brotherhood Channel (INN)
al-Jazeera's leading personality is the Muslim Brotherhood cleric Yusuf al-Qaradawi, who has called for the murder of U.S. soldiers.Muslim Grooming of Young Sikh Girls (BBC Inside Out)
(Video) A video documentary that exposes more bad behavior on the part of Muslim men in the exceedingly tolerant United Kingdom.The Islamic Future of Britain (The Commentator)
"Britain is in denial. If population trends continue, by the year 2050, Britain will be a majority Muslim nation."Raymond Ibrahim Interview (FrontPage Magazine)
(Video) The author of 'Crucified Again' corrects the 'orthodox narrative' on historical religious persecution.Plight of Southern Women (Bangkok Post)
Religion of Peace terrorists ruin lives in Thailand.Bombings Take Toll on Iraq's Markets (al-Arabiya)
The Americans are gone, but the bombers remain. Terrorists refuse to let Iraqis get on with their lives.Soccer Meets Slavery in Qatar (Asia News)
Even in the 21st century, big money still trumps human rights.MLK 50? (Muslim Issue)
(Video) Why don't pampered African-American race-baiters channel their energy into something worth whining about. . . like African men being kept in a zoo and beaten like animals by Libyan Arabs?The Top 10 Reasons to Attack Syria (Liberty News)
A tongue-in-cheek thesis on why Obama is intent on bombing Syria for bombing Syria.Mosque Surveillance Saves Lives (Molschky)
Keeping a law enforcement eye on mosques might hurt Muslim feelings, but there is a good reason for it.A Rebuttal to PBS's "Life of Mohammed" (Islam Watch)
Muhammad's life is beautiful - unless you get into the messy details.Ashton Kutcher on Life (YouTube)
Yep, it's completely off-topic, but we thought this was a pretty cool speech (and we're due for an off-topic post anyway).Islamic Conquest of the Netherlands (Islam vs. Europe)
A chronology that somehow omits the murder of Theo Van Gogh. . . but then, there is so much to choose from.Soldier of Allah, Not America (National Review)
"Political correctness is an American soldier of Allah's best friend."Israel: Lone Light in a Dark Region (FrontPage Magazine)
Ways in which Israel is different and ways in which it is treated differently.Cirque du Jihad (Family Security Matters)
Now that the Fort Hood killer has been sentenced to death, will the Obama administration finally admit the obvious?[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom