Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Religious people are less intelligent than atheists, according to scientific studies

Red: Zikowapi hizo ''collected proof of evolutions'' ? ina maana wewe kama ni mzazi nawe unawafundisha wanao kwamba binadam wametokana na evolution,kwamba hata wewe ni advanced SOKWE tu kutokana na evolutions ? Ndugu yangu mimi ni Theist, naamini katika evolution at micro level,na sio macro level kama waumini wa evolution wanavyotaka kutuaminisha, na amini evolutions katika species moja na si kwamba samaki anaweza kuwa tembo,au tutegemee baada ya miaka millioni moja kutokana na mabadiliko ya tabia nchi binadam wanaweza kubadilika na kuwa Twiga kwa kuwa joto litaongezeka na vyakula kuadimika kwani miti ya miiba itatawala ambayo hustahimili ukame,hivyo katika juhudi za binadam kuendana na ahali halisi shingo itarefuka na kuwa kama twiga tuwaonao leo au mfano wao,(ujinga huu mimi siwezi kumfundisha mwanangu,ama wanangu nawaambia ukweli, evolution hawaezi kuielewa kama inazungumziwa at macro level,wanatakiwa wakariri tu ili waweze kujibu maswali,SIO KWELI nao wanatakiwa kutafakari...

Brother first of apology sijakujibu 4 a very long time. Sijaingia humu kitambo and for some reason sikuona quote yako. Okay now, shall we begin. Kwanza kabisa for your first qn, kuna human skeletons found dating back to about a million years back, they kinda looked like this
mystery-skulls.jpg

this alone proves that modern man underwent changes to be who he is now. Alafu brother know that kama vile Dna inavoweza kutumika na kujua you're related to ur mom or dad it can be used to determine the species we're closely related to, mitochondria in your DNA changes with time it can be calculated to what time we had the common ancestor, with chimps as last ancestor abt 5million yrs and gorilla abt 8. Kifupi we're very closely related to Apes, japo sio conclusive the true origin maana first descendant hajulikani ila kwa kuangalia these evidences it suggests tulievolve from Apes.
{Pitia hii link kama uko interested with the matter, wamejadili vizuri hili swala with pics and everythng}

Human Evolution Evidence | The Smithsonian Institution's Human Origins Program
Another thing mkuu know something about me, mimi sio Atheist as i do believe kuna Superior being alieweza ku code the genes and all the behaviour of cells, siamini kua it was just luck that all the laws of physics are so perfect to enable sustainable life just from no where. Na napenda ku approach religion and science simultaneously. Mfano, religion says man was created from clay, big bang theory says we originated from star dust, wote wanakubali we came from dust, how sasa ndo tofauti. Naamini kuna ukweli unaoweza kufunga hizi ends mbili. Pili zamani the environment was harsh, binadamu lazima angekua hairy kuweza ku cope, ila evolution had to dispose of the unwanted features kufikia tulipo. So i do support that. Any comment sema tujadili, I'm a man of facts na logical pia, if something makes sense i won't denie it.
 
Oh sorry I misread.

Kama sio mungu yule wa Waisraeli, kwanini nisimuulize?

Kwa hiyo huyu Mungu wa Waisraeli wewe unamuelewa vizuri??!! Ukijibu hili haya maswali yako ya chini yatakuwa hayana umuhimu sana, maana nitahitaji tumjadili huyu huyu Mungu wa waisraeli.

Maybe huyu mungu ni mwelewa wa nature ya viumbe wake,
Ni rafiki/mpole,
Si mwenye uchu wa kuabudiwa (sifa ya mtu "intelligent"),
Anayependa viumbe wanaoReason,
........and the list inaendelea.

Binadamu angekuwa wa namna hiyo, kama ni kiongozi angekuwa na wafuasi wangapi?

Lakini mungu ambae haelewi nature yetu (asingechagua 'imani' kama means ya kumjua),
Unfriendly/katili (vitisho tunavyopewa si mchezo)
Mwenye uchu wa kuabudiwa (mpaka mtu anapatwa na maswali, hivi huyu ana weakness gani)
Asiyependa watu waReason (mf. mdogo, Kama nimeona genaeology ya biblia inaishia miaka kama 6000 iliyopita, wakati kuna mabaki ya binadamu na vitu vyake zaidi ya Miaka 100,000, kwanini niamini biblia?)
Ofcourse mungu huyu wa biblia huwezi kujifanya baba yako na kumuuliza.

Kama nilivyosema hapo juu, nijibu kwanza pale halafu tutaenda vizuri.
 
brother first of apology sijakujibu 4 a very long time. Sijaingia humu kitambo and for some reason sikuona quote yako. Okay now, shall we begin. Kwanza kabisa for your first qn, kuna human skeletons found dating back to about a million years back,")
-----------------------------------------
hakuna ktk theory yoyote kuwa binadaamu alikuwepo hapa dunian kwa million years back" hii sio kweli"
................................................. . .... .
they kinda looked like this

mystery-skulls.jpg

this alone proves that modern man underwent changes to be who he is now. Alafu brother know that kama vile dna inavoweza kutumika na kujua you're related to ur mom or dad it can be used to determine the species we're closely related to
---------------''''------------------------
being closer by dna with animals, it doesnt mean we are related to each other!! ( when it comes toz dna , human and pigs are very close by almost 90%) is that makes you and pigs like cousins???
"""""""""""""""""""""""""""""""::""""""""""""""""""
, mitochondria in your dna changes with time it can be calculated to what time we had the common ancestor, with chimps as last ancestor abt 5million yrs and gorilla abt 8. Kifupi we're very closely related to apes, japo sio conclusive the true origin maana first descendant hajulikani ila kwa kuangalia these evidences it suggests tulievolve from apes.
{pitia hii link kama uko interested with the matter, wamejadili vizuri hili swala with pics and everythng}

human evolution evidence | the smithsonian institution's human origins program
another thing mkuu know something about me, mimi sio atheist as i do believe kuna superior being alieweza ku code the genes and all the behaviour of cells, siamini kua it was just luck that all the laws of physics are so perfect to enable sustainable life just from no where. Na napenda ku approach religion and science simultaneously. Mfano, religion says man was created from clay, big bang theory says we originated from star dust, wote wanakubali we came from dust, how sasa ndo tofauti. Naamini kuna ukweli unaoweza kufunga hizi ends mbili. Pili zamani the environment was harsh, binadamu lazima angekua hairy kuweza ku cope, ila evolution had to dispose of the unwanted features kufikia tulipo.

Most of evolution remains theories until this day!
Japokuwa baadhi zina make sense lkn nyingi hazina ukweli wowote ndani yake!

So i do support that. Any comment sema tujadili, i'm a man of facts na logical pia, if something makes sense i won't denie it.

my friend. If you follow science blindly!
You will ending up in a deep hole!!
 
my friend. If you follow science blindly!
You will ending up in a deep hole!!

Hello brother, i'm not only a scientist but i have also watched about 1000hours of documentaries on origin of human and the origin of the universe and how it operates on discovery and online so i kinda find your comment offensive ila i'm gonna overlook them and go straight to the matter.
"hakuna ktk theory yoyote kuwa binadaamu alikuwepo hapa dunian kwa million years back" hii sio kweli"
Kwanza ungekua umepitia hiyo link niliyotoa mkuu usingekataa, pitia hiyo link kwanza brother, kuna fossils zake human predecessors dating as far as 4 to 6 million years back. eg
AL 444-2

exhibit-item-star.png
Exhibit item

Site:
Hadar, Ethiopia

Date of discovery:
1992

Discovered by:
Yoel Rak

Age:
About 3 million years old

Species:
Australopithecus afarensis

Evidence of size differences
This large male skull was found at the same locality as the famous Lucy skeleton. It is much bigger than the skull of Lucy and other females of this species, indicating there were differences in body size between the sexes.

"being closer by dna with animals, it doesnt mean we are related to each other!! ( when it comes toz dna , human and pigs are very close by almost 90%) is that makes you and pigs like cousins??"

kuhusu PIGS kwanza elewa We didn't evolve from Apes bali tunashare Common ancestor, kwahiyo jinsi human anavyozidi ku evolve anazidi kutofautiana na his cousins "apes", sasa tukija kwenye swala la kitimoto kufanana sawa tunafanana (addition ndo maana viungo vya nguruwe vinatumika hata kwa transplant, i know that) ila when talking of being alike ni lazima useme what part of the genome are alike. Infact viungo vya nguruwe anawezatumia binadamu sababu 1st they are large and almost similar in size,2nd they have almost same biochemical processes thanks to the similarity in one of the gene. Ila We are long way from being identical, na hii statement scientists wanaclaim ni very mis leading maana Cats are around 90% similar (I believe) to humans and cows are about 80% I think the fruit fly shares about 60% of its DNA with the average human, but it all comes down to what part of the genome your talking about. Humans relate closely to apes baada ya kuangalia specific genome affected on evolution. FOR MORE DETAILS AND TECHNICAL EXPLANATIONS SOMA HII LINK EXPLAINING IN DEPTH HAYA MAELEZO NILIYOTOA.
Do pigs share 98 per cent of human genes? › Ask an Expert (ABC Science)
 
Ndugu yangu, I didn't mean to offend anybody but! A lot of people are getting mislead by following science blindly without a solid evidence!!

If scientists told you anything without proof! Its your duty to go deep down to find out the fact about that theory!
And if you cant find the evidence, that theory remained as a theory! Until proven othewise!

How often do we see that the scientists are PROVEN WRONG??

I will give you few examples here!

One of the best aspects of science has always been its readiness to admit when it got something wrong.

Theories are constantly being refigured, and new research frequently renders old ideas outdated or incomplete. But this hasn’t stopped some discoveries from being hailed as important, game-changing accomplishments a bit prematurely.

Even in a field as rigorous and detail-oriented as science, theories get busted, mistakes are made, and hoaxes are perpetrated.

The following are the most groundbreaking of these scientific discoveries that turned out to be resting on some questionable data.

It is worth noting that most of these concepts are not necessarily “wrong” in the traditional sense; rather, they have been replaced by other theories that are more complete and reliable.

1.The Discovery of Vulcan -

Vulcan was a planet that nineteenth century scientists believed to exist somewhere between Mercury and the Sun.
The mathematician Urbain Jean Joseph Le Verrier first proposed its existence after he and many other scientists were unable to explain certain peculiarities about Mercury’s orbit.
Scientists like Le Verrier argued that this had to be caused by some object, like a small planet or moon, acting as a gravitational force.
La Verrier called his hypothetical planet Vulcan, after the Roman god of fire. Soon, amateur astronomers around Europe, eager to be a part of a scientific discovery, contacted Le Verrier and claimed to have witnessed the mysterious planet making its transit around the Sun.

For years afterward, Vulcan sightings continued to pour in from around the globe, and when La Verrier died in 1877, he was still regarded as having discovered a new planet in the solar system.

How it was Proven Wrong:

Without La Verrier acting as a cheerleader for Vulcan’s existence, it suddenly began to be doubted by many notable astronomers.

The search was effectively abandoned in 1915, after Einstein’s theory of general relativity helped to explain once and for all why Mercury orbited the Sun in such a strange fashion.

But amateur stargazers continued the search, and as recently as 1970 there have been people who have claimed to see a strange object orbiting the sun beyond Mercury.
Amusingly, the entire would-be discovery’s greatest legacy today is that it inspired the name of the home planet of the character Spock from Star Trek.

2.Spontaneous Generation -

Although it might seem a bit ludicrous today, for thousands of years it was believed that life regularly arose from the elements without first being formed through a seed, egg, or other traditional means of reproduction.
The main purveyor of the theory was Aristotle, who based his studies on the ideas of thinkers like Anaximander, Hippolytus, and Anaxagoras, all of whom stressed the ways in which life could spontaneously come into being from inanimate matter like slime, mud, and earth when exposed to sunlight.
Aristotle based his own ideas on the observation of the ways maggots would seemingly generate out of dead animal carcass, or barnacles would form on the hull of a boat.

This theory that life could literally spring from nothing managed to persist for hundreds of years after Aristotle, and was even being proposed by some scientists as recently as the 1700s. How it was Proven Wrong:
It was only with the adoption of the scientific method that many of the classical theories like spontaneous generation began to be tested.

Once they were, they quickly crumbled. For example, famed scientist Louis Pasteur showed that maggots would not appear on meat kept in a sealed container, and the invention of the microscope helped to show that these same insects were formed not by spontaneous generation but by airborne spread.

3.-Geocentric universe:

The concept that the Earth was at the center of the universe dates back to at least 600 B.C. with Greek philosophers who proposed cosmologies of the Sun, Moon and other heavenly bodies orbiting the Earth. The most famous contortion of the system was-Ptolemy’s epicycles-to explain the retrograde motion of Mars.

This is a prime example of fitting scientific evidence into preconceived notions.

The theory was disproven with the publication of Nicholas Copernicus’-De revolutionibus orbium coelestium-in 1543.

4.-Miasmatic theory of disease:

This theory holds that diseases such as cholera, chlamydia or the Black Death were caused by a miasma (ancient Greek: “pollution”), a noxious form of “bad air”.

This concept was not disposed of until the late 1800s, with the rise of the-germ theory of disease.

Miasma was considered to be a poisonous vapor or mist filled with particles from decomposed matter that caused illnesses. It was identifiable by its foul smell.

5.-Luminiferous aether:

Assumed to exist for much of the 19th century, the theory held that a “medium” of aether pervaded the universe through which light could propagate. The celebrated-Michelson-Morley experiment-in 1887 was the first to provide hard evidence that aether did not exist, and the theory lost all popularity among scientists by the1920s. A photo of the aether appears below.

6.-Stress theory of ulcers:

As peptic ulcers became more common in the 20th century, doctors increasingly linked them to the stress of modern life.-Medical advice-during the latter half of the 20th century was, essentially, for patients to take antacids and modify their lifestyle. In the 1980s Australian clinical researcher Barry Marshal discovered that the bacterium-H. pylori-caused peptic ulcer disease,-leading him to win a Nobel Prize-in 2005.

7.-Immovable continents:

Prior to the middle of the 20th century scientists believed the Earth’s continents were stable and did not move. This began to change in 1912 with Alfred Wegener’s formulation of the continental drift theory, and later and more properly the elucidation of-plate tectonics-during the 1950s and 1960s.

8.Phlogiston:

Arising in the mid-17th century, physicians conjured up the existence of a fire-like element called “phlogiston”, which was contained within combustible bodies and released during combustion. Charcoal, for example, left little residue upon burning because it is nearly pure phlogiston.

Experiments in the mid-1700s led chemists to conclude the theory was false, giving birth to the field of modern chemistry.

So you see brother! To take sciences as the only guidance could lead us in a place where we could regret!
I try always to be on safe side!

And that is TO BELIEVE IN ONE GOD! AND TO OBEY HIM ONLY!
And that is ALLAH!

Cause by doing that! I believe there is nothing to loose rather than a lot to gain!

Adios my friend! !

And again I am sorry if I offended you in anyway!

But a believer like myself, saying that"apes and myself ARE COUSINS" That could offend me too!

I believe Apes are Apes and Human are Humans, and thats it! No ifs and buts!

And NO ONE EVER PROOF OTHERWISE.

thanks for reading a looong thread!
 
binafsi sidhani dini ndio tatizo mia kwa mia, bali namna dini inavyofuatwa na kuelekezwa ina-restrict uwezo wa watu ku-take their own responsibilities . hata dini inathibitisha hili, bila kuitaja ni dini gani ya kwamba.,watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. elimu huleta maarifa. binadamu sio roboti anahitaji kuutumia uwezo wake wa kifikra, badala ya ku-let nature take their own course. matatizo mengi yanayotokea duniani sasa hivi yanahusika na watu kutokufikiri kwa makusudi. naheshimu hii thread lakini yapo baadhi ya madhehebu bila kuyataja pia yamewekeza kwenye elimu, hata viongozi wake ni wasomi hadi ngazi ya u-proffessor wanajua namna ya kukabiliana na changamoto zinazowakumba waumini wake na hata wasiowaumini wake. viongozi hawakurupuki kutoa hoja mgando zilizojaa roho mbaya, ushabiki na wivu wa kuifarakanisha jamii, wanatambua matabaka yaliyopo katika jamii na namna ya kufundisha ili kweli ya imani isiangamie bila kuvunja mfupa wa mtu na mara zote wanaonekana ni more inteligent katika jamii zetu.na hili linanifanya nione bado dini japo sio zote zinasaidia sana inteligence pengine kuliko upagani. obama ni miongoni mwa most inteligent human being ever exists lakini pamoja na yote mungu aliyompa hajaweza kuepuka udhaifu wa mwili anapotumia akili zake bila kumshirikisha mungu, u-douchebag wake hasa ni pale anapoamua kuunga mkono 'ushoga'. anakuwa zaidi ya mnyama yaani manake wanyama bado wana-prinsipo zao wanazozifuata kwa uadilifu. nashukuru huu uzi utasaidia wale wenye kutumiwa na viongozi wa dini kama mradi wa kuwanufaisha viongozi wao watazame upya walikotoka
 
Oh sorry I misread.

Kama sio mungu yule wa Waisraeli, kwanini nisimuulize?

Maybe huyu mungu ni mwelewa wa nature ya viumbe wake,
Ni rafiki/mpole,
Si mwenye uchu wa kuabudiwa (sifa ya mtu "intelligent"),
Anayependa viumbe wanaoReason,
........and the list inaendelea.

Binadamu angekuwa wa namna hiyo, kama ni kiongozi angekuwa na wafuasi wangapi?

Lakini mungu ambae haelewi nature yetu (asingechagua 'imani' kama means ya kumjua),
Unfriendly/katili (vitisho tunavyopewa si mchezo)
Mwenye uchu wa kuabudiwa (mpaka mtu anapatwa na maswali, hivi huyu ana weakness gani)
Asiyependa watu waReason (mf. mdogo, Kama nimeona genaeology ya biblia inaishia miaka kama 6000 iliyopita, wakati kuna mabaki ya binadamu na vitu vyake zaidi ya Miaka 100,000, kwanini niamini biblia?)
Ofcourse mungu huyu wa biblia huwezi kujifanya baba yako na kumuuliza.
hnimeipenda hii. ha ha ha
kuna kiongozi (seneta)mmoja wa juu marekani alisema haamini kama mungu yupo ila anaona ni vyema dini zingeendelea kuwepo. nikitazama mawazo yake i think binadamu ni zaidi ya mnyama anapoona hana jinsi na hana cha kupoteza pale anapokosa matumaini, dini zinawapatia matumaini watu kiasi cha wao kutenda mema na kuifanya dunia kuwa angalau mahali pema pa kuishi. esp. anapoamini kuwa akitenda mema ipo siku mungu atamjazia mema.pamoja na hasara za dini bado zinafaida kubwa zaidi. pia dini sio ukristo tu kuna nyingine ni more blander than ever ambazo hata maswali unayouliza wangesha kutenganisha shingo manake usingethubutu kwa jinsi zinavyoendeshwa ki-robotic.
 
ni kweli kuna atheists wengi ambao wana avarage intelligence, lakini hii post inaongelea wale wenye high I.Q.
 
Watu wanashindwa kuelewa maana ya dini.Dini ni mfumo wa maisha unaojichagulia.Hata huyo anayesema hana,uko mfumo fulani wa maisha uliojichagulia,huo mfumo wa kusema hana dini,ndio dini yenyewe.

Labda nikusahihishe. Maana ya dini sio hiyo unayoona kama ni mfumo wa maisha. Mfano Buddhism, they claim kwamba sio dini bali ni The Way Of Life. Hivyo kama ni mfumo wa maisha kwa nini wanakataa kujiita ni dini?

Asili ya neno religion, ni kilatini na lilikuwa linatumika kumaabisha fungu au furushi la kuni. Neno hilo limetumika kwenyr dini kumaanisha kuwafunga watu katika jumuia au kitaasisi katika principles fulani. Katika dini lazima uamini dini inavyosema lasiivyo utakuwa sawa na kuni iliyo nje ya fungu la kuni.
 
mbokaleo , I've read what you said and here's my thoughts.
  • First of, i love the star trek trilogy and i never knew Spock's home planet name originated from that dispute. So 'Props' to that.
  • Second i can see no offense was given so none shall be taken
  • But most importantly third ni kua there are alot more theories than these that have been proven wrong over the years, its what makes science SCIENCE. It sets a clear boundary between theories and laws. Na its open to disprove any theory if it does not well explain the facts. As another example ni The photoelectric effect and the general view of radiations(light), many scientists explained the effect but only recentlly, thanks to great minds like Einstein, Plank, Schrodinger and others the theories were put to rest and we now have a totally different view on light not as only a wave but also as a particle. Science is all about trials and errors, you go in blindly so as to come out enlightened.
  • Being open to changes kama nilivyosema juu ndo moja ya vitu vinavyotofautisha science and religion. Take a look at this.
-Giordano Bruno (1548 – February 17, 1600) and other scientists were burned in the middle centuries for Saying and teaching that the earth rotates around the sun and not otherwise, against religious teachings.
-Astronomer and professor Cecco d'Ascoli, was burned alive in 1327 in a Church for believing that the earth was round.
-Huo ugunduzi wa Galileo uliosema, mpaka sasa tunaamini na kujua kua dunia inazunguka jua ni kweli, ila what i think you do not know is that he was imprisoned, threatened with torture, and forced to recant his beliefs because they disagreed with Religious ones before.
-ALso did you know that before Germs were know by science Religious forks used to teach that diseases are caused by SIN.
The list goes on and on, na sababu ya hawa watu wa dini kufanya hivyo(kuadhibu wanasayansi wanaopingana nao) ni kua waliamini watu watakosa imani nao. Wafuaasi wao wakawa wanaendelea kuwekwa under constant fear na kureject clear facts. Nashangaa hadi sasa kuna watu "Mashahidi wa Yehova" i think wanapinga blood transfusion wakiamini zinapingana na mafundisho yao na hawataenda mbinguni wakikubali.Also some religions condemn the use of contraceptivee pills. What i'm trying to say is religion does not accept changes easily ni kama vile wana exploit something kutoka kwa waumini wake wakiendelea kua kwenye state of unknowing. Mimi as Scientists like Newton (Who was actually a very religious man) and Albert i do accept that there is a GOD out there and as i said before i always approach both simultaneously, i believe we came from dust, and we were created by a powerfull being. Weather there is After life i'm still sceptic but open for ideas. In short as ALBERT EINSTEIN once said "Science without religion is lame. Religion without science is blind."
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo huyu Mungu wa Waisraeli wewe unamuelewa vizuri??!! Ukijibu hili haya maswali yako ya chini yatakuwa hayana umuhimu sana, maana nitahitaji tumjadili huyu huyu Mungu wa waisraeli.

Kama nilivyosema hapo juu, nijibu kwanza pale halafu tutaenda vizuri.

Ofcourse namjua vizuri!!

And mind you, kabla hujaanza kuquote bible verses, I hope you know how contradictory the bible is....
 
ni kweli kuna atheists wengi ambao wana avarage intelligence, lakini hii post inaongelea wale wenye high I.Q.
LOL watu washasahau original post inaongelea nini...embu wakumbushe
 
hnimeipenda hii. ha ha ha
kuna kiongozi (seneta)mmoja wa juu marekani alisema haamini kama mungu yupo ila anaona ni vyema dini zingeendelea kuwepo. nikitazama mawazo yake i think binadamu ni zaidi ya mnyama anapoona hana jinsi na hana cha kupoteza pale anapokosa matumaini, dini zinawapatia matumaini watu kiasi cha wao kutenda mema na kuifanya dunia kuwa angalau mahali pema pa kuishi. esp. anapoamini kuwa akitenda mema ipo siku mungu atamjazia mema.pamoja na hasara za dini bado zinafaida kubwa zaidi. pia dini sio ukristo tu kuna nyingine ni more blander than ever ambazo hata maswali unayouliza wangesha kutenganisha shingo manake usingethubutu kwa jinsi zinavyoendeshwa ki-robotic.

ndo kama jamaa aliyepewa ban alivyodai, kuwa kuwa atheist ni huna purpose, kazi kuwork for tomorrow ambayo hata huijui.....

......KUMBE.....

Umenipa idea that religious people are so desparate of tomorrow hadi wameanza kusikia 'unabii' kwamba wataenda mbinguni.

Now everything makes sense. :
 
hnimeipenda hii. ha ha ha
kuna kiongozi (seneta)mmoja wa juu marekani alisema haamini kama mungu yupo ila anaona ni vyema dini zingeendelea kuwepo. nikitazama mawazo yake i think binadamu ni zaidi ya mnyama anapoona hana jinsi na hana cha kupoteza pale anapokosa matumaini, dini zinawapatia matumaini watu kiasi cha wao kutenda mema na kuifanya dunia kuwa angalau mahali pema pa kuishi. esp. anapoamini kuwa akitenda mema ipo siku mungu atamjazia mema.pamoja na hasara za dini bado zinafaida kubwa zaidi. pia dini sio ukristo tu kuna nyingine ni more blander than ever ambazo hata maswali unayouliza wangesha kutenganisha shingo manake usingethubutu kwa jinsi zinavyoendeshwa ki-robotic.

Mtu kukua anakremishwa dini, inaafect kweli akili. Mtu hataki kufikiria hata kidogo. Ni kama kaulema ka akili ambako mtu huwa anafanyiwa mazoezi na shule kidogo. Na bado...

indoctrination ni ukoma kwakweli....
 
binafsi sidhani dini ndio tatizo mia kwa mia, bali namna dini inavyofuatwa na kuelekezwa ina-restrict uwezo wa watu ku-take their own responsibilities . hata dini inathibitisha hili, bila kuitaja ni dini gani ya kwamba.,watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. elimu huleta maarifa. binadamu sio roboti anahitaji kuutumia uwezo wake wa kifikra, badala ya ku-let nature take their own course. matatizo mengi yanayotokea duniani sasa hivi yanahusika na watu kutokufikiri kwa makusudi. naheshimu hii thread lakini yapo baadhi ya madhehebu bila kuyataja pia yamewekeza kwenye elimu, hata viongozi wake ni wasomi hadi ngazi ya u-proffessor wanajua namna ya kukabiliana na changamoto zinazowakumba waumini wake na hata wasiowaumini wake. viongozi hawakurupuki kutoa hoja mgando zilizojaa roho mbaya, ushabiki na wivu wa kuifarakanisha jamii, wanatambua matabaka yaliyopo katika jamii na namna ya kufundisha ili kweli ya imani isiangamie bila kuvunja mfupa wa mtu na mara zote wanaonekana ni more inteligent katika jamii zetu.na hili linanifanya nione bado dini japo sio zote zinasaidia sana inteligence pengine kuliko upagani. obama ni miongoni mwa most inteligent human being ever exists lakini pamoja na yote mungu aliyompa hajaweza kuepuka udhaifu wa mwili anapotumia akili zake bila kumshirikisha mungu, u-douchebag wake hasa ni pale anapoamua kuunga mkono 'ushoga'. anakuwa zaidi ya mnyama yaani manake wanyama bado wana-prinsipo zao wanazozifuata kwa uadilifu. nashukuru huu uzi utasaidia wale wenye kutumiwa na viongozi wa dini kama mradi wa kuwanufaisha viongozi wao watazame upya walikotoka

nimekusomaaaa hadi ukanipoteza kwa obama.

We sema tu unaongelea kale kadini ketu ka utatu kongwe kongwe kuliko zingine....kweli napenda pia wanavyovalue secular education....na sikuhizi they're open to the possibility ya evolution.......

Sooo why exactly umemuita obama 'very intelligent??
 
kwakweli, obama ni inteligent. kwa ufupi., mtu sio lazima u-invent something kama wakina einstein, faraday, newtons ndo uitwe inteligent, kimsingi hata wale wenye kuuza mawazo makini wanakuwa regarded as inteligent people pia. obama nimekuwa nikisoma speach zake sio zilizoandikwa bali live, kweli jamaa alistahili kuongoza taifa babe kama lile duniani. this guy is geneous, for real. pia nimewahi kufuatilia za bush na clinton jamaa amewa-surpass wote hao.though jamaa ana-sound kama mkristo kimtazamo tu lakini sio diligence xstian
kuhusu dini gani, ki-ukweli nimezungumzia dini kwa kufuata tu vkitabu bila jina kwani kwani mara nyingi ndani ya dini moja kuna madhehebu ambayo yanatofautiana katika mambo mbalimbali, mfano sijajua kama mashahidi wa jehova nao kama ni wakristo au la japo nao wanasoma kilekile kitabu kwa namna yao. manake ningeweza kusema wakristo ni wale wamfuatao kristo (jesus christ). vilevile kuna wale Mormons.
 
Mtu kukua anakremishwa dini, inaafect kweli akili. Mtu hataki kufikiria hata kidogo. Ni kama kaulema ka akili ambako mtu huwa anafanyiwa mazoezi na shule kidogo. Na bado...

indoctrination ni ukoma kwakweli....
tatizo dini imetangulia mapema kabla ya elimu. na hii imewafanya hata wengine kutenda maovu kwa kutumia kivuli cha dini imesema. na wanaoelimika sasa wanazuiwa wasihoji chochote, bali wakubali tu ili wasipotoshwe na ubatili wa dunia hii. dini ina-high rank katika jamii kuliko hata elimu.
 
Back
Top Bottom