Sasa utaona kwann pambano la rematch lina pesa zaidi.Anapigaje zaidi wakati ndiyo mpunga unapungua kwake?
Karata yake ya kuuza ilikuwa ile ya unbeaten, sasa hivi kawa wa kawaida, brand imeshuka thamani.
Sasa utaona kwann pambano la rematch lina pesa zaidi.Anapigaje zaidi wakati ndiyo mpunga unapungua kwake?
Karata yake ya kuuza ilikuwa ile ya unbeaten, sasa hivi kawa wa kawaida, brand imeshuka thamani.
Sasa utaona kwann pambano la rematch lina pesa zaidi.
Mimi nimepata hisia kama zako maana hakufanya juhudi yoyote halafu refa kusimamisha pambano kama kashtuka. Hapana uchunguzi ufanyike watu wa bet wamefanya yao kabisa.Mi nilisema joshua hii mechi kauza ili apate rematch apige mpunga zaidi
Kabisa anaweza kabisa pesa mbaya sana.Do you think Joshua angeweza ku-trade unbeaten record for the sake of money?
Kabisa anaweza kabisa pesa mbaya sana.
Isingewezekana.baharia andy mtu mbaya sana.Do you think Joshua angeweza ku-trade unbeaten record for the sake of money?
Isingewezekana.baharia andy mtu mbaya sana.
miguu haina nguvu anapiga punyeto?AJ ameomba rematch kwasababu ya aibu, ila ukweli anajua hawezi kumpiga Ruiz.
Kumbuka AJ alilamba sakafu mara 4, hana pumzi ya kutosha, pia miguu haina nguvu.
We kama mimi,unajua kwa sasa mabondia wakali wachache sana,ndio maana AJ akatamba.kizazi cha lewis ,tyson na evander, mabondia walikuwa super tech,halafu wagumu kinoma.AJ kene pambano na vradmil kristchko raundi ya ya sita alishakwisha kabisa na mpinzani wake yuko vizuri,sijui ilikuwaje akamuacha mpaka kengele ikagonga,sema alimkuta krischko umri wa kustaafu umefika.simkubali aj hata kidogo.AJ sijawahi kumkubali hata kidogo.
Anything can happen bro,wote binaadamu usiseme haiwezekani..huyo joshua ana uspecial gani mpaka akatae dili.Do you think Joshua angeweza ku-trade unbeaten record for the sake of money?
Anything can happen bro,wote binaadamu usiseme haiwezekani..huyo joshua ana uspecial gani mpaka akatae dili.
AJ ATAKAUA HAKA KAJINGA KIBONGE KALIMUOTEA TU ILA THIS TIME ANAUAMTU ULINGONI
Endelea kuwaamini wazungu mkuu..Kwa scrutiny ilivyo sasa hivi kwenye issue za match fixing, siwezi kukubaliana na hilo.