Rematch: Anthony Joshua Vs Andy Ruiz imetangazwa rasmi

Rematch: Anthony Joshua Vs Andy Ruiz imetangazwa rasmi

Anapigaje zaidi wakati ndiyo mpunga unapungua kwake?

Karata yake ya kuuza ilikuwa ile ya unbeaten, sasa hivi kawa wa kawaida, brand imeshuka thamani.
Sasa utaona kwann pambano la rematch lina pesa zaidi.
 
Mi nilisema joshua hii mechi kauza ili apate rematch apige mpunga zaidi
Mimi nimepata hisia kama zako maana hakufanya juhudi yoyote halafu refa kusimamisha pambano kama kashtuka. Hapana uchunguzi ufanyike watu wa bet wamefanya yao kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: B51
Kabisa anaweza kabisa pesa mbaya sana.

Nadhani wewe siyo follower wa boxing, especially Anthony Joshua.

Ninaweza kukubali kwamba labda, promotion company ambayo amesign nayo ilimhujumu ili kujiongezea kipato kwenye rematch.

Lakini there is no motivation for Joshy to intentionally lose that game. Not at all.
 
AJ sijawahi kumkubali hata kidogo.
We kama mimi,unajua kwa sasa mabondia wakali wachache sana,ndio maana AJ akatamba.kizazi cha lewis ,tyson na evander, mabondia walikuwa super tech,halafu wagumu kinoma.AJ kene pambano na vradmil kristchko raundi ya ya sita alishakwisha kabisa na mpinzani wake yuko vizuri,sijui ilikuwaje akamuacha mpaka kengele ikagonga,sema alimkuta krischko umri wa kustaafu umefika.simkubali aj hata kidogo.
 
AJ ATAKAUA HAKA KAJINGA KIBONGE KALIMUOTEA TU ILA THIS TIME ANAUAMTU ULINGONI

Team Andy Ruiz hapa, AJ alitakiwa kuishia round ya 3 tu.

Next game atapigwa fasta fasta wenyewe mtashangaa.

IMG-20190605-WA0013.jpg
 
Boxing sikuhizi umekua mchezo wa kidranzi sana..yani matokeo yanapangwa nje ya ringi ili watu wapige pesa...aj mechi ya mwanzo aliuza!!
 
Back
Top Bottom