Wengi waliacha kufuatilia sio wewe tu, unajua ile mechi AJ angeshinda isingekuwa habari maana ingekuwa ni sawa na Simba kumla mbuzi, ila imekuwa habari kwavile Simba ndo kaliwa. So hili pambano limeleta uhai sana kwenye heavyweight division iliyokuwa kama imekufaNimeangalia lile Pambano pia na mapambano yao mengine, sioni namna au upenyo wa AJ kumpiga Andy.
Nilupotezea mchezo wa ngumi mara baada ya Lenox Lewis kistaafu, lakini nilipomuangalia huyu amigo, amenianya nianza kuufuatilia huu mchezo kupitia yeye
Amigo yupo vizuri aisee! Team andy tujuane kabisa kabla ya re match!!Nimeangalia lile Pambano pia na mapambano yao mengine, sioni namna au upenyo wa AJ kumpiga Andy.
Nilupotezea mchezo wa ngumi mara baada ya Lenox Lewis kustaafu, lakini nilipomuangalia huyu amigo, amenifanya nianze kuufuatilia huu mchezo kupitia yeye.
Amigo supporters tupo wengi aiseeAmigo yupo vizuri aisee! Team andy tujuane kabisa kabla ya re match!!
Uafrika wake haunihusu mimi.Kwahiyo mwafrika mwenzenu hamumtaki tena? [emoji44]
Nimeangalia upiganaji wa Wilder naye atakalishwa tu na Amigo😆😆Mnamuona jamaa yenu huyu, eti anautaka mkanda wa WBC[emoji3][emoji3][emoji3], Anachokitafuta atakipata, Wilder anapiga kama anaua nyoka[emoji38][emoji38]View attachment 1120766
Andy Ruiz Jr aka Destroyer nyota inazidi kung'ara upande wake.
Pambano la juzi dhidi ya Anthony Joshua lilikuwa ni pambano lilimwingizia kipato mara 10 ya ambacho amewahi kukipata.
Ameingiza takribani USD 5 Mil kwenye hilo pambano, wakati kiasi kikubwa alichowahi kupata ni USD 500,000.
Rematch inapangwa kwamba atapata USD si chini ya 10 Mil. Ukiacha add ons.
Tipwa Tipwa anairudisha Boxing kwenye ramani, mimi binafsi nilipunguza kuangalia boxing kwa sababu imepoteza mvuto, watu wanajilinda na kukwepa zaidi ya punching, ila Tipwa Tipwa kanionyesha radha ambayo sikuiona wakati Mayweather anapigana na Manny Pacq, Joshua vs Klitchko, Wilder vs Fury, etc etc.
Na kitendo cha kumshinda Joshua, ukilinganisha na body buildups zao, records na odds walizopewa, Randy kafurahisha watu wengi sana.
Namwombea pambano lake la kurudiana ashinde.
Kuna watu tulikuwa tunasema kwamba Joshua hajawahi kukutana na real tests, na muda wote kambi yake walikuwa wanakwepesha kumpa mapambano yenye uzito, lakini katokea Randy katuthibitishia.
Ama kweli, kurukaruka siyo dawa ya ulimbo.
Mi nilisema joshua hii mechi kauza ili apate rematch apige mpunga zaidi
Jamani waswahili tupunguze kidogo, angeshinda joshua msingesema Randy kauza mechi,,,
Namuombea remach atandikwe tena. Ikiwezekana amkate na sikio.
Hahaha, nimecheka hapo pa kumkata sikio.
Aisee jamaa nimetokea kumkubali, halafu interview zake ukimsikiliza, very humble.
Jamaa yuko smart sana. Nitaitafuta interview yake
Too humble to be true, real mexican from mexican family. Anayafanya maisha kuwa mepesi anaifanya interview usitamani iishe. Smiling all the timeKuna moja amefanya na Jimmy Kimmel, anasema wazazi wake walimbetia wakashinda $10,000/-.
Too humble to be true, real mexican from mexican family. Anayafanya maisha kuwa mepesi anaifanya interview usitamani iishe. Smiling all the time
Kwa wale ambao ni wachanga ktk game ya boxing let me tell you that on April 21 2001 Lenox Lewis was knocked out by underdog Hasim Rahman in south Africa... Kumbuka kabla ya pambano hilo Lewis alitoka kumpiga evender hollyfield... Wengi walishangilia jinsi lenox Lewis alivyopigwa kwa KO na Rahman pale South Africa kama jinsi watu wanavyoshangilia Leo AJ alivyokalishwa na Andy Ruiz...hahahaa.. Ngoja niwaambie nini kilitokea kwenye marudiano ya Lenox Lewis na Hasim Rahman... Lenox alimpiga vibaya Hasim Rahman kwenye round ya 4 tuu Kijana chalii ilikuwa ni November 2011...hahahaa The same is going to happen in a rematch between AJ vs Ruiz... Let's wait and see