Rematch: Anthony Joshua Vs Andy Ruiz imetangazwa rasmi

Rematch: Anthony Joshua Vs Andy Ruiz imetangazwa rasmi

Yaani jamaa yangu serious unataka tusiamini tulichokiona jukwaani tukuamini wewe uliyopo huko Mpwapwa Dodoma?! Maajabu hayajawahi kuisha.
Mimi sijasema kua ni uhakika ila sio kitu cha kusema hakiwezekani.
 
Yaani jamaa yangu serious unataka tusiamini tulichokiona jukwaani tukuamini wewe uliyopo huko Mpwapwa Dodoma?! Maajabu hayajawahi kuisha.
Asingepigwa kusingekua na pambano la marudiano,asingepigwa pambano la marudiano lisingekua na pesa nyingi kuliko la mwanzo.

Its not about titles huko juu,its all about money bro,money
 
Mi nilisema joshua hii mechi kauza ili apate rematch apige mpunga zaidi
Kikokotoo gani unatumia aisee..?
Atapataje hela zaidi wakati heshima yake imeshuka,hiyo bargaining power ya kuvuta mpunga zaidi ataitoa wapi..?
Hapo kibonge ndio ana nafasi kubwa ya kupiga mpunga zaidi..!
Then,huyo Tony Joshua ni bondia wa kawaida sana,amechapwa na kibonge kihalali kabisa,wala hajauza mechi..!
 
Asingepigwa kusingekua na pambano la marudiano,asingepigwa pambano la marudiano lisingekua na pesa nyingi kuliko la mwanzo.

Its not about titles huko juu,its all about money bro,money
Chief...
Ebu tutumie akili ya kawaida tu...
Unafikiri nani mwenyewe uhitaji mkubwa wa mechi ya marudiano kati ya Andy na AJ..?
 
Hii itakuwa Mexico City ila kwa kukusanya pesa ndefu sitashangaa ikiwa Las Vegas.

Promota wa AJ ametangaza rasmi uwepo wa rematch kati ya mteja wake na Andy Ruiz mnamo Nov/Dec ingawa bado haijajulikana itafanyikia wapi, hii ni baada ya AJ kupoteza pambano lake la kwanza kwa TKO.

WELL, ni muda wa AJ kujiuliza wapi amekosea aweze kurekebisha makosa yake, akipoteza mechi ya pili then his career is over.....View attachment 1118104
 
Hiyo ina maana kwamba uwezo wa AJ kudai pesa kubwa kwenye pambano la marejeano utakuwa ni mdogo..!
Ila Andy Luiz ndio ana uwezo mkubwa wa kudai fungu nono,coz tayari ubingwa upo mikononi mwake..!
Kwasasa AJ atakuwa B side, ndio biashara ya ngumi inavyokwenda
 
Ghafla AJ katoka top3
Screenshot_20190606-184641.jpeg
 
Asingepigwa kusingekua na pambano la marudiano,asingepigwa pambano la marudiano lisingekua na pesa nyingi kuliko la mwanzo.

Its not about titles huko juu,its all about money bro,money
AJ thamani yake imeshuka sana hawez tena kutengeneza pesa nyingi. ameshaharibu cv yake
 
Nimeangalia lile Pambano pia na mapambano yao mengine, sioni namna au upenyo wa AJ kumpiga Andy.
Niliupotezea mchezo wa ngumi mara baada ya Lenox Lewis kustaafu, lakini nilipomuangalia huyu amigo, amenifanya nianze kuufuatilia huu mchezo kupitia yeye.
 
Kupeleka pambano UK ni kujaribu kumtengenezea AJ mazingira ya kushinda..!
Hilo pambano lipigwe neutral venue,ndio mshindi atapatikana kihalali..!
Waache mambo ya European Nations League..!
 
Kupeleka pambano UK ni kujaribu kumtengenezea AJ mazingira ya kushinda..!
Hilo pambano lipigwe neutral venue,ndio mshindi atapatikana kihalali..!
Waache mambo ya European Nations League..!
Dawa ni kumpiga kwa KO, hata hiyo mechi ya kwanza wangeenda Round 12 there is no way Ruiz kushinda
 
Back
Top Bottom