Ruiz mzuri kwenye ring, ana punch za haraka, mvumilivu wa makonde pia mzuri ktk kukwepa ila this time atakalishwa mkuu, Joshua ni Simba dume lililojeruwiwa, ila naomba uzima 7Dec niweze shuhudia hili pambano, hakika dunia ya masumbwi itashuhudia moja ya pambano kaliMakubaliano yameafikiwa mpambano wa maruadiano kati ya mMexco Ruiz dhidi ya Mwingereza Joshua mnamo Dec 7 huko Saudia Arabia
Ikumbukwe pambano la awali Joshua alikubali kichapo ambacho hakikutarajiwa na wengi cha knockout ya roundi ya 7
Nini mtazamo wako
Jeshua atalipiza kisasi au Ruiz aka Chibonge ataendeleza ubabe wake?View attachment 1198889