Rematch; Ruiz Vs Joshua

Rematch; Ruiz Vs Joshua

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Makubaliano yameafikiwa mpambano wa maruadiano kati ya mMexco Ruiz dhidi ya Mwingereza Joshua mnamo Dec 7 huko Saudia Arabia

Ikumbukwe pambano la awali Joshua alikubali kichapo ambacho hakikutarajiwa na wengi cha knockout ya roundi ya 7

Nini mtazamo wako
Jeshua atalipiza kisasi au Ruiz aka Chibonge ataendeleza ubabe wake?
Screenshot_2019-09-05-16-46-11-1.jpeg
 
Makubaliano yameafikiwa mpambano wa maruadiano kati ya mMexco Ruiz dhidi ya Mwingereza Joshua mnamo Dec 7 huko Saudia Arabia

Ikumbukwe pambano la awali Joshua alikubali kichapo ambacho hakikutarajiwa na wengi cha knockout ya roundi ya 7

Nini mtazamo wako
Jeshua atalipiza kisasi au Ruiz aka Chibonge ataendeleza ubabe wake?View attachment 1198889
Ruiz mzuri kwenye ring, ana punch za haraka, mvumilivu wa makonde pia mzuri ktk kukwepa ila this time atakalishwa mkuu, Joshua ni Simba dume lililojeruwiwa, ila naomba uzima 7Dec niweze shuhudia hili pambano, hakika dunia ya masumbwi itashuhudia moja ya pambano kali
 
Chibonge nikalishie tena bishoo AJ, wamefanya la maana kupeleka Saudi Arabia hapo haki bin haki
 
Back
Top Bottom