Remember The Death of Notorius BIG - 9th March 1997.

Remember The Death of Notorius BIG - 9th March 1997.

So unamfananisha na BIG au?
Wote walikuwa wasanii na wote waliuawa.
BIG alipigwa risasi, Steve 2k alichomwa kisu cha kukatia vitunguu.

Sure....i can see the difference....
Cha msingi hapo ni uigaji wa kipumbavu....
 
Mmesahau East coast wa uswazi chini ya Juma Kiroboto Nature na West Coast watoto wa Uzunguni chini ya crayz GK na AY miaka ilee??.

Nashukuru hili bifu liliisha manake walikuwa wanaelekea siko.

They are now grown up.
 
Back
Top Bottom