AMEANDIKA REMIGIUS AFISA WA IT CHADEMA MAKAO MAKUU
Secretariat ya Chama Makao Makuu ilizuia majimbo 78 yasipewe printer bure, Laptop 254 na Video Camera 10 .
Twende pamoja; Ndugu Mwanachama na Mpiga kura Idara yenu ya IT kupitia Mtumishi wenu Remigius nilianzisha project ya kusaidia majimbo mwaka 2022 ili walau kila jimbo lipate printer za kuprint kadi za wanachama.
Project yangu ikazaa matunda, marafiki zangu wa nje ya nchi ambao waliniamini na kuelewa mpango kazi niliowapa wakakubali kusaidia majimbo kwa kuyapa printer bure. Mpango kazi wetu ilikuwa kila baada ya miezi mitatu napokea printer 5 na kuzigawa.
Awamu ya kwanza, Nikapokea Printer 5 nikaziweka ofisini Makao Makuu, Viongozi walipoziona wakanitaka nisizigawe hadi wao wanipe majimbo wanayotaka wao! Nikawaambia ilo halitowezekana, Hii ni Project nimeandaa mimi kwa ajili ya majimbo kadhaa, tayari majimbo hayo yana taarifa. Wakanizuia, ila mimi nikazigawa! (Nilijua wanachotaka kufanya kwa vile nawajua)
Makao Makuu wakaanza chuki na wivu, nikaanza kupigwa majungu eti hii Project ya Remigius haifuati utaratibu. Remigius atakuwa anapata pesa. Nikawajibu Kama napata pesa na lengo la kugawa printer linafanyika, mwenye fedha zake mfadhili hajanungunika ndo kwanza anaongeza nyie inawauma nini? Si na nyie mtafute Project tuwape wanachama? Ebo! Kuwapa wanachama printer iwe ni shida!
Nikaombwa ripoti ya kazi hiyo, nikawapa ripoti nzuri kama ilivyo, kumbe lengo leo ni kujua hasa ni nani ananifadhili hizi printer. Wakafanikiwa kumjua, na hapo wakaanza kumsumbua. Mpaka wakapanga safari kutoka Tanzania kwenda Marekani kukutana nao wafadhili. Wakakutana, mfadhili akawaambia Remigius tunamuamini na Project inaenda vizuri tunakusudia kuongeza idadi ya majimbo. Wakamwambia usiendelee na hiyo Project!
Mimi na Mfadhili tukawasiliana akiwa amevunjika moyo sana, aamini kama Chama kinaweza kufanya maamuzi ya hivi. Nikamwambia ebu tuache hizo kazi! Mimi ninangozi ya kupambana nao wanasiasa nawajua, wewe ni mfanyabiashara! Acha hii Project.. Na Project ikafa.
Majimbo yaliyonufaika kwa haraka ni Mlimba Kupitia suzani Kiwanga, Serengeti kupitia Ruge, Musoma Mjini kupitia Julius Mwita, Singida magahribi kupitia Maro, Temeke kupitia Soka, Tanga Mjini kupitia Zainab, Muheza kupitia Yosepha, Shinyanga Mjini kupitia Ntobi n.k wote hawa walipewa printer bure na mimi ndo niliwakabidhi. Majimbo mengie nilisafiri na kufika na kukabidhi.
Majimbo ambayo yalikuwa yapokee printer wiki hiyo hiyo kabla ya kuzuia yalikuwa ni Buyungu, Chato, Bariadi mjini, Sengerema, Kahama na Njombe Mjini.
Waheshimiwa wajumbe, Fikilia ofisi yenu chini ya Secretariat ya Katibu Mkuu Mnyika wanakuwa na ubinafsi wa kiwango hicho.
Fikilia, kama Secretariet wako tayari kuzuia Project isiendelee kwa vile tu hawajainzisha wao.
Katikati ya Hiyo Project nikapata Mfadhili wa pili yeye alitaka kugawa Laptop majimbo yote 254 na Kugawa Camera kubwa za kurekodi matukio kanda zote 10 kwa maafisa habari. Project zote hizo zikashindwa kuendelea kwasababu ya hii Secretariat!
Mtu aliyekuzuia jimbo lako /Mkoa wako usipewe Laptop Bure na printer bure ndo wanapiga simu kumuombee kura Mwamba! Wanajua endapo Lissu akiwa Mwenyekiti, Secretariat itafumuliwa na kusukwa upya! Hiki kitu hawataki kitokee kamwe.
Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha, akaisuke Makao Makuu upya!
Mpiga kura kazi kwako.
#WameyatakaWatayapata
#Wasikimbie