Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Interesting
Hatari Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Interesting
Mbowe apumzikeHatari Sana
Mbowe apumzike
bado upo ofisin hapo au ulishabalaswaAMEANDIKA REMIGIUS AFISA WA IT CHADEMA MAKAO MAKUU
Secretariat ya Chama Makao Makuu ilizuia majimbo 78 yasipewe printer bure, Laptop 254 na Video Camera 10 .
Twende pamoja; Ndugu Mwanachama na Mpiga kura Idara yenu ya IT kupitia Mtumishi wenu Remigius nilianzisha project ya kusaidia majimbo mwaka 2022 ili walau kila jimbo lipate printer za kuprint kadi za wanachama.
Project yangu ikazaa matunda, marafiki zangu wa nje ya nchi ambao waliniamini na kuelewa mpango kazi niliowapa wakakubali kusaidia majimbo kwa kuyapa printer bure. Mpango kazi wetu ilikuwa kila baada ya miezi mitatu napokea printer 5 na kuzigawa.
Awamu ya kwanza, Nikapokea Printer 5 nikaziweka ofisini Makao Makuu, Viongozi walipoziona wakanitaka nisizigawe hadi wao wanipe majimbo wanayotaka wao! Nikawaambia ilo halitowezekana, Hii ni Project nimeandaa mimi kwa ajili ya majimbo kadhaa, tayari majimbo hayo yana taarifa. Wakanizuia, ila mimi nikazigawa! (Nilijua wanachotaka kufanya kwa vile nawajua)
Makao Makuu wakaanza chuki na wivu, nikaanza kupigwa majungu eti hii Project ya Remigius haifuati utaratibu. Remigius atakuwa anapata pesa. Nikawajibu Kama napata pesa na lengo la kugawa printer linafanyika, mwenye fedha zake mfadhili hajanungunika ndo kwanza anaongeza nyie inawauma nini? Si na nyie mtafute Project tuwape wanachama? Ebo! Kuwapa wanachama printer iwe ni shida!
Nikaombwa ripoti ya kazi hiyo, nikawapa ripoti nzuri kama ilivyo, kumbe lengo leo ni kujua hasa ni nani ananifadhili hizi printer. Wakafanikiwa kumjua, na hapo wakaanza kumsumbua. Mpaka wakapanga safari kutoka Tanzania kwenda Marekani kukutana nao wafadhili. Wakakutana, mfadhili akawaambia Remigius tunamuamini na Project inaenda vizuri tunakusudia kuongeza idadi ya majimbo. Wakamwambia usiendelee na hiyo Project!
Mimi na Mfadhili tukawasiliana akiwa amevunjika moyo sana, aamini kama Chama kinaweza kufanya maamuzi ya hivi. Nikamwambia ebu tuache hizo kazi! Mimi ninangozi ya kupambana nao wanasiasa nawajua, wewe ni mfanyabiashara! Acha hii Project.. Na Project ikafa.
Majimbo yaliyonufaika kwa haraka ni Mlimba Kupitia suzani Kiwanga, Serengeti kupitia Ruge, Musoma Mjini kupitia Julius Mwita, Singida magahribi kupitia Maro, Temeke kupitia Soka, Tanga Mjini kupitia Zainab, Muheza kupitia Yosepha, Shinyanga Mjini kupitia Ntobi n.k wote hawa walipewa printer bure na mimi ndo niliwakabidhi. Majimbo mengie nilisafiri na kufika na kukabidhi.
Majimbo ambayo yalikuwa yapokee printer wiki hiyo hiyo kabla ya kuzuia yalikuwa ni Buyungu, Chato, Bariadi mjini, Sengerema, Kahama na Njombe Mjini.
Waheshimiwa wajumbe, Fikilia ofisi yenu chini ya Secretariat ya Katibu Mkuu Mnyika wanakuwa na ubinafsi wa kiwango hicho.
Fikilia, kama Secretariet wako tayari kuzuia Project isiendelee kwa vile tu hawajainzisha wao.
Katikati ya Hiyo Project nikapata Mfadhili wa pili yeye alitaka kugawa Laptop majimbo yote 254 na Kugawa Camera kubwa za kurekodi matukio kanda zote 10 kwa maafisa habari. Project zote hizo zikashindwa kuendelea kwasababu ya hii Secretariat!
Mtu aliyekuzuia jimbo lako /Mkoa wako usipewe Laptop Bure na printer bure ndo wanapiga simu kumuombee kura Mwamba! Wanajua endapo Lissu akiwa Mwenyekiti, Secretariat itafumuliwa na kusukwa upya! Hiki kitu hawataki kitokee kamwe.
Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha, akaisuke Makao Makuu upya!
Mpiga kura kazi kwako.
#WameyatakaWatayapata
#Wasikimbie
FAM ALIPASWA KUACHIA MADARAKA MIAKA 2 NYUMA. HUKO ULIKO FAM NAKUSHAURI USIGOMBEE TENA UENYEKITI; MUNGU ANAKWAMBIA MUDA WAKO UMEISHA PISHA WENGINEChama kimepasuka kabisa,Mbowe hafai kabisa
Sumu haionjwi kwa ulimiMbona hamkusema haya mapema
Machawa ya Mbowe ,jitokezeni ,Mzee wenu anunguzwa hapa.AMEANDIKA REMIGIUS AFISA WA IT CHADEMA MAKAO MAKUU
Secretariat ya Chama Makao Makuu ilizuia majimbo 78 yasipewe printer bure, Laptop 254 na Video Camera 10 .
Twende pamoja; Ndugu Mwanachama na Mpiga kura Idara yenu ya IT kupitia Mtumishi wenu Remigius nilianzisha project ya kusaidia majimbo mwaka 2022 ili walau kila jimbo lipate printer za kuprint kadi za wanachama.
Project yangu ikazaa matunda, marafiki zangu wa nje ya nchi ambao waliniamini na kuelewa mpango kazi niliowapa wakakubali kusaidia majimbo kwa kuyapa printer bure. Mpango kazi wetu ilikuwa kila baada ya miezi mitatu napokea printer 5 na kuzigawa.
Awamu ya kwanza, Nikapokea Printer 5 nikaziweka ofisini Makao Makuu, Viongozi walipoziona wakanitaka nisizigawe hadi wao wanipe majimbo wanayotaka wao! Nikawaambia ilo halitowezekana, Hii ni Project nimeandaa mimi kwa ajili ya majimbo kadhaa, tayari majimbo hayo yana taarifa. Wakanizuia, ila mimi nikazigawa! (Nilijua wanachotaka kufanya kwa vile nawajua)
Makao Makuu wakaanza chuki na wivu, nikaanza kupigwa majungu eti hii Project ya Remigius haifuati utaratibu. Remigius atakuwa anapata pesa. Nikawajibu Kama napata pesa na lengo la kugawa printer linafanyika, mwenye fedha zake mfadhili hajanungunika ndo kwanza anaongeza nyie inawauma nini? Si na nyie mtafute Project tuwape wanachama? Ebo! Kuwapa wanachama printer iwe ni shida!
Nikaombwa ripoti ya kazi hiyo, nikawapa ripoti nzuri kama ilivyo, kumbe lengo leo ni kujua hasa ni nani ananifadhili hizi printer. Wakafanikiwa kumjua, na hapo wakaanza kumsumbua. Mpaka wakapanga safari kutoka Tanzania kwenda Marekani kukutana nao wafadhili. Wakakutana, mfadhili akawaambia Remigius tunamuamini na Project inaenda vizuri tunakusudia kuongeza idadi ya majimbo. Wakamwambia usiendelee na hiyo Project!
Mimi na Mfadhili tukawasiliana akiwa amevunjika moyo sana, aamini kama Chama kinaweza kufanya maamuzi ya hivi. Nikamwambia ebu tuache hizo kazi! Mimi ninangozi ya kupambana nao wanasiasa nawajua, wewe ni mfanyabiashara! Acha hii Project.. Na Project ikafa.
Majimbo yaliyonufaika kwa haraka ni Mlimba Kupitia suzani Kiwanga, Serengeti kupitia Ruge, Musoma Mjini kupitia Julius Mwita, Singida magahribi kupitia Maro, Temeke kupitia Soka, Tanga Mjini kupitia Zainab, Muheza kupitia Yosepha, Shinyanga Mjini kupitia Ntobi n.k wote hawa walipewa printer bure na mimi ndo niliwakabidhi. Majimbo mengie nilisafiri na kufika na kukabidhi.
Majimbo ambayo yalikuwa yapokee printer wiki hiyo hiyo kabla ya kuzuia yalikuwa ni Buyungu, Chato, Bariadi mjini, Sengerema, Kahama na Njombe Mjini.
Waheshimiwa wajumbe, Fikilia ofisi yenu chini ya Secretariat ya Katibu Mkuu Mnyika wanakuwa na ubinafsi wa kiwango hicho.
Fikilia, kama Secretariet wako tayari kuzuia Project isiendelee kwa vile tu hawajainzisha wao.
Katikati ya Hiyo Project nikapata Mfadhili wa pili yeye alitaka kugawa Laptop majimbo yote 254 na Kugawa Camera kubwa za kurekodi matukio kanda zote 10 kwa maafisa habari. Project zote hizo zikashindwa kuendelea kwasababu ya hii Secretariat!
Mtu aliyekuzuia jimbo lako /Mkoa wako usipewe Laptop Bure na printer bure ndo wanapiga simu kumuombee kura Mwamba! Wanajua endapo Lissu akiwa Mwenyekiti, Secretariat itafumuliwa na kusukwa upya! Hiki kitu hawataki kitokee kamwe.
Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha, akaisuke Makao Makuu upya!
Mpiga kura kazi kwako.
#WameyatakaWatayapata
#Wasikimbie
Unajua kusoma,kuelewa na kuandika?Kama Lissu hatoshi kwenye uongozi mbona Chadema walitaka kutupa mzigo mzito watanzania mwaka 2020
Mwe mwe mwe, hili tifu mbona linazidi jamani, tungeacha demokrasia ichukue mkondo wake tu tungekuwa salama kwani mtu kutangaza nia au kuchukua form siyo kuwa tayari amekuwa mwenyekiti, juhudi zinazofanywa na wapambe wa Mbowe wakifikiri wanamsaidia ndiyo zinaibua madudu yote haya ambayo yanamuanguakia Mbowe mwenyewe, Boniface na Yericko uchawa wenu umeleta balaa kubwa walahi.AMEANDIKA REMIGIUS AFISA WA IT CHADEMA MAKAO MAKUU
Secretariat ya Chama Makao Makuu ilizuia majimbo 78 yasipewe printer bure, Laptop 254 na Video Camera 10 .
Twende pamoja; Ndugu Mwanachama na Mpiga kura Idara yenu ya IT kupitia Mtumishi wenu Remigius nilianzisha project ya kusaidia majimbo mwaka 2022 ili walau kila jimbo lipate printer za kuprint kadi za wanachama.
Project yangu ikazaa matunda, marafiki zangu wa nje ya nchi ambao waliniamini na kuelewa mpango kazi niliowapa wakakubali kusaidia majimbo kwa kuyapa printer bure. Mpango kazi wetu ilikuwa kila baada ya miezi mitatu napokea printer 5 na kuzigawa.
Awamu ya kwanza, Nikapokea Printer 5 nikaziweka ofisini Makao Makuu, Viongozi walipoziona wakanitaka nisizigawe hadi wao wanipe majimbo wanayotaka wao! Nikawaambia ilo halitowezekana, Hii ni Project nimeandaa mimi kwa ajili ya majimbo kadhaa, tayari majimbo hayo yana taarifa. Wakanizuia, ila mimi nikazigawa! (Nilijua wanachotaka kufanya kwa vile nawajua)
Makao Makuu wakaanza chuki na wivu, nikaanza kupigwa majungu eti hii Project ya Remigius haifuati utaratibu. Remigius atakuwa anapata pesa. Nikawajibu Kama napata pesa na lengo la kugawa printer linafanyika, mwenye fedha zake mfadhili hajanungunika ndo kwanza anaongeza nyie inawauma nini? Si na nyie mtafute Project tuwape wanachama? Ebo! Kuwapa wanachama printer iwe ni shida!
Nikaombwa ripoti ya kazi hiyo, nikawapa ripoti nzuri kama ilivyo, kumbe lengo leo ni kujua hasa ni nani ananifadhili hizi printer. Wakafanikiwa kumjua, na hapo wakaanza kumsumbua. Mpaka wakapanga safari kutoka Tanzania kwenda Marekani kukutana nao wafadhili. Wakakutana, mfadhili akawaambia Remigius tunamuamini na Project inaenda vizuri tunakusudia kuongeza idadi ya majimbo. Wakamwambia usiendelee na hiyo Project!
Mimi na Mfadhili tukawasiliana akiwa amevunjika moyo sana, aamini kama Chama kinaweza kufanya maamuzi ya hivi. Nikamwambia ebu tuache hizo kazi! Mimi ninangozi ya kupambana nao wanasiasa nawajua, wewe ni mfanyabiashara! Acha hii Project.. Na Project ikafa.
Majimbo yaliyonufaika kwa haraka ni Mlimba Kupitia suzani Kiwanga, Serengeti kupitia Ruge, Musoma Mjini kupitia Julius Mwita, Singida magahribi kupitia Maro, Temeke kupitia Soka, Tanga Mjini kupitia Zainab, Muheza kupitia Yosepha, Shinyanga Mjini kupitia Ntobi n.k wote hawa walipewa printer bure na mimi ndo niliwakabidhi. Majimbo mengie nilisafiri na kufika na kukabidhi.
Majimbo ambayo yalikuwa yapokee printer wiki hiyo hiyo kabla ya kuzuia yalikuwa ni Buyungu, Chato, Bariadi mjini, Sengerema, Kahama na Njombe Mjini.
Waheshimiwa wajumbe, Fikilia ofisi yenu chini ya Secretariat ya Katibu Mkuu Mnyika wanakuwa na ubinafsi wa kiwango hicho.
Fikilia, kama Secretariet wako tayari kuzuia Project isiendelee kwa vile tu hawajainzisha wao.
Katikati ya Hiyo Project nikapata Mfadhili wa pili yeye alitaka kugawa Laptop majimbo yote 254 na Kugawa Camera kubwa za kurekodi matukio kanda zote 10 kwa maafisa habari. Project zote hizo zikashindwa kuendelea kwasababu ya hii Secretariat!
Mtu aliyekuzuia jimbo lako /Mkoa wako usipewe Laptop Bure na printer bure ndo wanapiga simu kumuombee kura Mwamba! Wanajua endapo Lissu akiwa Mwenyekiti, Secretariat itafumuliwa na kusukwa upya! Hiki kitu hawataki kitokee kamwe.
Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha, akaisuke Makao Makuu upya!
Mpiga kura kazi kwako.
#WameyatakaWatayapata
#Wasikimbie
Mnyika nina mashaka naye inawezekana ni mamluki ndani ya chama.Mbona hamkusema haya mapema
Bado upo kwenye nafasi yako ya Afisa wa IT CHADEMA HQ au wameshakuondoa?AMEANDIKA REMIGIUS AFISA WA IT CHADEMA MAKAO MAKUU

Sasa kama Mwenyekiti hafaulu elimu tu ndogo ya sekondari unategemea nini mkuu?Bado upo kwenye nafasi yako ya Afisa wa IT CHADEMA HQ au wameshakuondoa?
CHADEMA watakuwa wanafanya kazi kienyeji sana. Afisa binafsi anabuni na kutekeleza mradi nyeti kiasi hicho wenye wafadhili wa nje bila mfumo wa uongozi kuhusika na mpango mzima.
Yaani wanastukia tu mradi umeanza kisha wanaanza harakati za kuuzuia na kutafuta huyo mfadhili ni nani. Strange. Basi hakuna taasisi hapo.
Bro huyo ni shadowwalijua kama hawatashinda,Mbowe sijui kama sio usalama.