Remigius: Secretarieti ya Chama Makao Makuu ilizuia majimbo 78 yasipewe printer za kadi , Laptop 254 na Video Camera 10 bure kisa janjajanja

bado upo ofisin hapo au ulishabalaswa
 
Chaguzi huwa zina mambo ana vijambo.
 
Machawa ya Mbowe ,jitokezeni ,Mzee wenu anunguzwa hapa.
 
Chadema hawana chochote cha kuwasema ccm kwa ubaya wao! Kumbe ndiyo maana kuna wabunge walihamia CCM kwa ujinga huo huo
 
Mwe mwe mwe, hili tifu mbona linazidi jamani, tungeacha demokrasia ichukue mkondo wake tu tungekuwa salama kwani mtu kutangaza nia au kuchukua form siyo kuwa tayari amekuwa mwenyekiti, juhudi zinazofanywa na wapambe wa Mbowe wakifikiri wanamsaidia ndiyo zinaibua madudu yote haya ambayo yanamuanguakia Mbowe mwenyewe, Boniface na Yericko uchawa wenu umeleta balaa kubwa walahi.
 
Bado upo kwenye nafasi yako ya Afisa wa IT CHADEMA HQ au wameshakuondoa?

CHADEMA watakuwa wanafanya kazi kienyeji sana. Afisa binafsi anabuni na kutekeleza mradi nyeti kiasi hicho wenye wafadhili wa nje bila mfumo wa uongozi kuhusika na mpango mzima.

Yaani wanastukia tu mradi umeanza kisha wanaanza harakati za kuuzuia na kutafuta huyo mfadhili ni nani. Strange. Basi hakuna taasisi hapo.
 
Sasa kama Mwenyekiti hafaulu elimu tu ndogo ya sekondari unategemea nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…