Remigius: Secretarieti ya Chama Makao Makuu ilizuia majimbo 78 yasipewe printer za kadi , Laptop 254 na Video Camera 10 bure kisa janjajanja

Wewe ni mpumbavu kabisa, jambo la chama huwezi kulifanya binafsi, ulikuwa unaficha nini? Wizi?

Nakipongeza chama kupambana na ujinga huu. Najua ungeanza kuomba hela kwa watu kwa kutumia jina la chama, halafu unaweka mfukoni
 
Uko sahihi kabisa, ni rahisi hata kuwadukua kwa kupandikiza vitu ndani ya laptop.

Chama kilifanya vizuri kuzuia mradi huo
 
Wewe ni mpumbavu kabisa, jambo la chama huwezi kulifanya binafsi, ulikuwa unaficha nini? Wizi?

Nakipongeza chama kupambana na ujinga huu. Najua ungeanza kuomba hela kwa watu kwa kutumia jina la chama, halafu unaweka mfukoni
Akili za kimasikini
 
YAANI kwakua Tu umepata mfadhili ndio ufanye unavyotaka? Wewe ni mpumbavu Sana! Kuwa na mfadhili au project doesn't mean usifuate utaratibu, ni utovu wa nidhamu.
 
Nitashangaa Sana Mbowe akiendelea na huu uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…