Remigius: Secretarieti ya Chama Makao Makuu ilizuia majimbo 78 yasipewe printer za kadi , Laptop 254 na Video Camera 10 bure kisa janjajanja

Huu ndiyo ujinga tunaoupinga nchini. Hadi utakapoona maslahi yako yanapotea ama kunaanayetaka kuyaboresha mnaanza kuleta taarifa zenu za gizani.

Tunahitaji uadilifu muda wote na utoaji habar za sirini wakati wote.
 
Je,Lissu atamaliza kila mkwamo kwa CHADEMA au ndio mnachangamsha genge?
 
Maelezo ni marefu ila sisi wapiga kura,kazi tuliyo nayo ni Mbowe,finish!
Akichaguliwa,ukatafute KAZI nyingine!
 
Chama hakishukwi Makao makuu ya chama!
Chama kinasukwa kuanzia ngazi ya shina,matawi, kata ,wilaya na Mkoa
Unapotosha wapiga kura,ila wapiga kura,hawako tayari kumchagua mropokaji wa Kila neno na Kila mahali.
 
Daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…