ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
aisee we jamaa kila uzi upo inabidi upewe uumoderatorHahaha real comedian, afu jamaa ni mwimbaji mzuri sana.
Ila atupige BAN za kutosha.aisee we jamaa kila uzi upo inabidi upewe uumoderator
ngoja wajibu na mie nifahamuHV WANAFAIDIKA?
Mtu kama Eric ana endorsments nyingi,inaendelea kuweka jina alive hata pale anapokuwa hana stand up comedy shows lakini kumbuka pia you tube wanalipa,kwa hiyo hela wanapata za google adsense.HV WANAFAIDIKA?
kwa njia ipi wanaipata maana sijaona kipengere on youtube cha kumlipa mtuMtu kama Eric ana endorsments nyingi,inaendelea kuweka jina alive hata pale anapokuwa hana stand up comedy shows lakini kumbuka pia you tube wanalipa,kwa hiyo hela wanapata za google adsense.
kuna jamaa alikuwa anamfananisha na mc pilipili etiHahaha real comedian, afu jamaa ni mwimbaji mzuri sana.
Unafanya kazi wapi??Hahaha real comedian, afu jamaa ni mwimbaji mzuri sana.
Kwa nini mkuu unauliza hivyo?Unafanya kazi wapi??