Remix ya salome ya Eric Omondi, so funny

Remix ya salome ya Eric Omondi, so funny

Kiukweli wabongo wengi hawajui maana ya parody wao ni kurudia wimbo kama ilivyo na Nguo za kike tu
 
Mtu kama Eric ana endorsments nyingi,inaendelea kuweka jina alive hata pale anapokuwa hana stand up comedy shows lakini kumbuka pia you tube wanalipa,kwa hiyo hela wanapata za google adsense.
kwa njia ipi wanaipata maana sijaona kipengere on youtube cha kumlipa mtu
 
Mbona E. Omondi,anafanya remix na cover nyingi za kibongo?

Ashafanya nyimbo nyingi za Diamond pamoja na Alikiba?

Maana yake? Au soko la kibongo linamlipa sana? Au anawakubali sana wasanii wa bongo na kazi zao?
 
'Tukimbizane nini Sang'ombe wangu' Ila angalau hii ya Eric unaweza ukamtafsiria mzazi akakuelewa,Ile yetu tafsiri yake ni ngumu kama nini!!!
 
Back
Top Bottom