A glass of water
Member
- Jul 28, 2012
- 69
- 107
Uyu Jamaa nilipenda kitu flani katika maisha yake, mwamba alikua ni rula kanyooka vile. Haijalishi hilo jambo linamgusa yeye au mtu mwingine.
1. Remmy Ongala_Nyerere
1. Remmy Ongala_Nyerere
huna huu wimbo ninao mkuu ,kula chuma hichoHuo wimbo uko wapi Mkuu?
Mimi ni shabiki sana wa nyimbo za Dr.Remmy Ongala kwa miaka mingi sasa.
Asante sana Mkuu. 🙏huna huu wimbo ninao mkuu ,kula chuma hicho
Mzee alikuwa anapiga spana 😂huna huu wimbo ninao mkuu ,kula chuma hicho
Uyo Jamaa alirisha, ukiwa unasikiliza huu wimbo hadharani lazima utaambiwa ni msalitu. I love my Country Tz, here black and dirty is given as white and cleanhuna huu wimbo ninao mkuu ,kula chuma hicho
Ramadhani Mtoro .Uyu Jamaa nilipenda kitu flani katika maisha yake, mwamba alikua ni rula kanyooka vile. Haijalishi hilo jambo linamgusa yeye au mtu mwingine.
1. Remmy Ongala_Nyerere